Waziri wa kilimo Dkt Charles Tizeba amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya Kitaifa ya Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi katika Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Katika maonesho hayo ambayo yalianza Oktoba 23 mwaka huu, Dkt Tizeba amesema kuwa hiyo ni …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 25, 2018
TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA
Soma zaidi »TUNAFIKISHA MAJI SAFI VIJIJINI KWA 85% 2020 – MAMA SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza ahadi ya kusambaza maji mijini na vijijini ambapo mpaka ifikapo mwaka 2020 inategemea maji yatakuwa yamefika vijijini kwa asilimia 85% na mjini asilimia 90%. Makamu wa Rais ameyasema hayo …
Soma zaidi »BANDARI ZOTE KUBWA KUFUNGWA FLOW METERS
Ni Bandari Zote Zinazopokea Mafuta ghafi nchini Katika kuhakikisha Bandari zote nchini zinafanya kazi ipasavyo kama inavyotakiwa Serikali imesema utaratibu za ufungaji wa flow meter katika bandari zote nchini ziko katika hatua za mwisho baada ya taratibu zote kukamilika. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amsema hayo wakati wa kikao …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA ENEO LA MBEGANI ITAKAPOJENGWA BANDARI MPYA YA BAGAMAYO
NECTA: MATOKEO YOTE YA MTIHANI DARASA LA SABA 2018
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YOTE
Soma zaidi »