Tumieni Sheria Kulinda Vyanzo vya Maji – MAKAMU WA RAIS

  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameutaka Uongozi wa mkoa wa Manyara kutumia sheria za mazingira kulinda vyanzo vya maji.
  • Makamu wa Rais ameyasema hayo leo mjini Babati akiwa kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.
  • “Tumieni sheria ya mazingira inayotaka kuwe na mita 60, hii itasaidia kulinda na kutunza vyanzo vya maji, washirikisheni wataalam wa mazingira katika hili” alisema Makamu wa Rais.
SISI-NI-TANZANIA-MPYA---187
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachi waliojitokeza kwa wingi nje ya geti la kiwanda cha Mbolea Minjingu mkoani Manyara.
  • Leo katika ziara yake wilayani Babati, Makamu wa Rais ametembelea kiwanda cha mbolea Minjingu, amezindua jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (BAWASA), kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa mtandao wa barabara Babati pamoja na kuhutubia wananchi wa Babati mjini katika uwanja mpira wa Kwaraa.
  • Katika hotuba yake kwa wakazi wa Babati mjini Makamu wa Rais amesema ziara yake ilianzia Mererani wilayani Simanjiro ambapo ameshuhudia ongezeko la ukusanyaji mapato pamoja na viwanda vya kuongeza thamani ya madini yetu.
  • Pia amesisitiza kwa wananchi kufuata sheria na taratibu zilizowekwa kwani kufanya hivyo kutapunguza migogoro mingi haswa ya ardhi.
SISI-NI-TANZANIA-MPYA---185
Mbunge wwa Jimbo la Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul akihutubia wananchi wa jimbo lake kwa mara ya kwanza kwa tiketi ya CCM mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye uwanja wa mpira Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
  • Makamu wa Rais ameziomba taasisi za maji katika mji wa Babati kuangali mpya tozo wanazowatoza wananchi kwani ni kubwa.
  • Kwa upande mwingine Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISENI Selemani Jafo amesema Serikali inajenga hospitali mpya 67 ndani ya mwaka mmoja, vituo vya afya 350 ndani ya miezi 18, shule za sekondari 89 kongwe zinafanyiwa ukarabati, kwa upande wa miundo mbinu zaidi ya kilomita 6 kati ya 10 za mtandao wa barabara Babati mjini zimekamilika.
Mbunge wwa Jimbo la Babati Mjini
Mbunge wwa Jimbo la Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul akihutubia wananchi wa jimbo lake kwa mara ya kwanza kwa tiketi ya CCM mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye uwanja wa mpira Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
  • Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa wa Manyara ndugu Alexander Mnyeti amesema wamekuwa wakijitahidi kutatua migogoro mbali mbali hatua kwa hatua na wameweza kusimamia miradi kwa ubora unaotakiwa “Pesa za miradi zinaenda sehemu husika na hii ndio imetupa sifa ya kuwa mkoa wa pili Kitaifa katika mbio za mwenge za mwaka huu”.
  • Nae Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Mhe. Pauline Gekul pamoja na mambo mengine alikishukuru Chama cha Mapinduzi kwa kumpokea na kumpa nafasi ya kukitumikia chama hicho kama Mbunge.
makamu akiweka jiwe la msingi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la mtandao wa barabara za lami katika mji wa Babati, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo.
MAKAMU AKIKATA UTEPE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (BAWASA), wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, Mwenyekiti wa Bodi ya BAWASA Dkt. Elibarick Olomi (kushoto) na Mkurugenzi wa BAWASA Mhandisi Idd Yazid Msuya, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manyara Mzee Simon Lulu na Mkuu wa mkoa huo Mhe. Alexander Mnyeti (Kulia).

SISI-NI-TANZANIA-MPYA---183

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

33 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Pin-up Casino https://pin-up.admsov.ru/ is an online casino licensed and regulated by the government of Curacao . Founded in 2016, it is home to some of the industry’s leading providers, including NetEnt, Microgaming, Play’n GO and others. This means that you will be spoiled for choice when it comes to choosing a game.

  3. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  4. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  5. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  6. Оперативный вывод из запоя https://www.liveinternet.ru/users/laralim/post505923855/ на дому. Срочный выезд частного опытного нарколога круглосуточно. При необходимости больного госпитализируют в стационар.

  7. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  8. Latest news and analysis of the Premier League https://premier-league.kz. Full descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events. Premier Kazakhstan is the best place for football fans.

  9. Доставка груза и грузоперевозки https://tamozhennyy-deklarant.blogspot.com по России через транспортную компанию автотранспортом доступна и для частных лиц. Перевозчик отправит или доставит ваш груз: выгодные тарифы индивидуальный подход из рук в руки 1 машиной.

  10. The site is dedicated to football https://fooball-egypt.com, football history and news. Latest news and fresh reviews of the world of football

  11. The inspiring story of how talented Kevin De Bruyne https://manchestercity.kevin-de-bruyne-cz.com became the best player of Manchester City and the Belgium national team. From humble origins to the leader of a top club.

  12. Bernardo Mota Veiga de Carvalho e Silva https://manchestercity.bernardo-silva-cz.com Portuguese footballer, club midfielder Manchester City and the Portuguese national team.

  13. The impact of the arrival of Cristiano Ronaldo https://annasr.cristiano-ronaldo-cz.com at Al-Nasr. From sporting triumphs to cultural changes in Saudi football.

  14. Find out how Pedri https://barcelona.pedri-cz.com becomes a key figure for Barcelona – his development, influence and ambitions determine the club’s future success in world football.

  15. Find out how Bruno Guimaraes https://newcastleunited.bruno-guimaraes-cz.com became a catalyst for the success of Newcastle United thanks to his technical abilities and leadership on the field and beyond.

  16. Witness the thrilling story of Jiri Prochazka’s https://ufc.jiri-prochazka-ufc.cz rapid rise to the top of the UFC’s light heavyweight division, marked by his dynamic fighting style and relentless determination.

  17. Latest news and analysis of the English Premier League https://epl-ar.com. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events.

  18. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  19. The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.

  20. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  21. Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.

  22. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  23. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  24. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  25. официальный сайт драгон мани казино реристрация Dragon Money Casino

  26. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  27. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  28. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  29. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  30. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  31. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  32. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  33. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *