Maktaba ya Kila Siku: November 14, 2018

Tutangulize maslahi ya Taifa na si maslahi binafsi – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi na Watendaji wa mkoa wa Kilimanjaro kufanya kazi kwa kushirikiana, kuheshimiana na kupendana. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani humo. …

Soma zaidi »

Naagiza Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, AZIMIO, Kamishna TRA wakutane – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri MkuuKassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited katika eneo la Dege Beach Kigamboni na kutamka kuwa amesikitishwa na uharibifu wa mali na wizi unaendelea kwenye eneo hilo. Amewaagiza Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA Bi.SIFAELI KUNDASHUMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya tano imekusudia maendeleo na panapo hitajika maendeleo lazima ukweli usemwe. Akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha Makamu wa Rais alisema “Wakazi wa Siha hamna budi kubadilika mchague watu wenye itikadi …

Soma zaidi »