Maktaba ya Kila Siku: November 23, 2018
MADAKTARI WA MUHIMBILI WAHUDUMIA WAGONJWA ZAIDI YA 1,476 LIGULA
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na watalaam wengine wa afya leo wamehitimisha utoaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara -Ligula- kwa kuhudumia wagonjwa 1476. Kati ya hao, upasuaji mkubwa umefanyika kwa wagonjwa 54 na mdogo kwa wagonjwa 81. Baadhi ya upasuaji mkubwa …
Soma zaidi »“SEKTA YA AFYA NCHINI INAKUWA KWA KASI” – Dkt. NDUGULILE
Sekta ya afya inakua kwa kasi huku huduma muhimu za afya kwa sasa zikiwa zinapatikana hapa hapa nchini” Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile alipokua akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliyopo …
Soma zaidi »MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI LA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwaamesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu katika kusimamia matumizi endelevu ya maji ya Mto Nile kwa ustawi wa kiuchumi wa nchi zote. Ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri la Nchi za Bonde la Mto Nile …
Soma zaidi »