Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amekabidhi kompyuta 25 kwa shule za sekondari Mpanda mkoani Katavi kwa lengo la kukuza kiwango cha ufaulu na kuongeza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) shuleni kwa kuwawezesha waalimu kutumia kufundishia na wanafunzi kujifunzia. Amefafanua kuwa lengo ni kupate …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 4, 2019
WANANCHI WA IGANDO WAANZA KUPATA HUDUMA YA UMEME
Wananchi katika Kijiji cha Igando, wilayani Chato, mkoa wa Geita, wameanza kupata huduma ya umeme kupitia mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu (REAIII) unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ndiye aliyewasha rasmi umeme katika …
Soma zaidi »LIVE: Bunge la 11, Kikao cha Tano MASWALI na MAJIBU
WACHIMBAJI WADOGO KUFIKISHIWA UMEME KWENYE MASHIMO YAO
Wachimbaji wadogo mkoani Geita wanatarajiwa kufikishiwa Umeme katika mashimo yao ili kuwawezesha kufanya shughuli zao za uchimbaji kwa ufanisi mkubwa. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Imwelu kilichopo wilaya ya Chato mkoani Geita. Alisema kuwa Serikali inatambua mchango …
Soma zaidi »