RAIS MSTAAFU JK AONGOZA KIKAO CHA KAZI NA SHIRIKISHO ZA KIUCHUMI AFRIKA

  • Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika nafasi yake ya mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council) jana aliendesha kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Africa. Katika Kikao hicho Mhe. Kikwete alielezea umuhimu wa kuwekeza nguvu za pamoja katika kuutokomeza ugonjwa wa malaria katika bara letu la Afrika. Katika Mwaka 2017.
JAKAYA KIKWETE
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa SADC Dr. Stergomena Tax, katika kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Afrika.
  • Malaria iliua watu 435,000 duniani, wengi wao wakiwa ni watoto. Asilimia tisini ya vifo hivyo vilitokea Africa. Pamoja na kuwa kumekuwa na juhudi kubwa za kutokomeza malaria, Ugonjwa huo umeendelea kuwa tishio kubwa katika juhudi za maendeleo. Ni katika kuendeleza mapambano dhidi ya ugonjwa huo, Mhe. Kikwete na taasisi ya kutokomeza malaria imeonelea ishirikiane na shirikisho hizo za kikanda kuwa na mikakati ya pamoja katika kutokomeza malaria.
JAKAYA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa SADC Dr. Stergomena Tax, pamoja na wajumbe wengine walioshiriki katika kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Afrika
  • Mhe. Kikwete aliitambulisha rasmi taasisi hiyo ya kutokomeza malaria kwa wajumbe,Taasisi hiyo iliyoanzishwa na Bill Gates pamoja na Ray Chambers kwa kushirikiana na taasisi ya wadau wa malaria inayojulikana kama Roll Back Malaria Partnership to end Malaria inajumuisha viongozi wenye nguvu za ushawishi na pia watu wenye uwezo wa kifedha ambao huziwekesha kwenye shughuli za maendeleo. Wajumbe kwenye taasisi hiyo ni Bill Gates, Ray Chambers .Peter Chernin, Aliko Dangote, Mhe.Jakaya Kikwete, Graça Machel, Luis Alberto Moreno, Mhe. Ellen Johnson Sirleaf, na mwenyekiti wa ALMA ambaye kwa kipindi hiki ni Mfalme Mswati III wa Ufalme wa Eswatini.
JAKAYA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiongea katika kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Afrika
  • Ikumbukwe kuwa Mhe. Kikwete ni mkereketwa mkubwa katika masuala ya Afya,na katika kipindi chake cha urais aliweza kushirikisha maraisi wa Afrika kupambana na malaria kupitia chombo alichokianzisha kinachojulikana kama African Leaders Malaria Alliance (ALMA).
  • Katika kikao hicho Katibu Mkuu wa secretariat ya chombo hicho alimshukuru Mhe. Kikwete kwa kuanzisha chombo hicho ambacho kilianza na marais nane na sasa kinajumuisha marais wote wa Africa.
  • Naye Katibu Mkuu wa SADC Dr. Stergomena Tax, alisema taasisi yake ipo tayari kufanya kazi na Mhe. Kikwete na taasisi ya kutokomeza malaria, kwani kwa SADC suala la malaria limepewa kipaumbele kikubwa. Wajumbe wote waliokuwapo katika kikao hicho wakiwemo wawakilishi wa umoja wa Afrika na RBM walimpongeza mhe. Kikwete kwa uongozi wake katika masuala ya malaria na kuelezea utayari wao wa kufanya kazi pamoja naye na na taasisi ya kutokomeza malaria.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga …

438 Maoni

  1. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  2. купить диплом о высшем образовании цена купить диплом о высшем образовании цена .

  3. номер документа об образовании ast-diplomy.com .

  4. A site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.uz, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  5. If you are a fan of UFC https://ufc-hoje.com the most famous organization in the world, come visit us. The most important news and highlights from the UFC world await you on our website.

  6. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  7. Авиатор 1win играть https://1win.tr-kazakhstan.kz/ Это запрос на объяснение, что такое 1win. В основном, 1win — это онлайн-букмекерская контора и казино, предлагающая услуги по ставкам на спорт, азартные игры и другие развлечения. http://www.1win.tr-kazakhstan.kz

  8. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  9. скачать 1 win на андроид бесплатно https://1win.tr-kazakhstan.kz/ 1 win plinko http://www.1win.tr-kazakhstan.kz

  10. Vinicius Junior https://vinicius-junior.org all the latest current and latest news for today about the player of the 2024 season

  11. Analysis of Arsenal’s impressive revival https://arsenal.bukayo-saka.biz under the leadership of Mikel Arteta and the key role of young star Bukayo Saki in the club’s return to the top.

  12. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  13. Pedri’s story https://barcelona.pedri-fr.com from his youth in the Canary Islands to becoming a world-class star in Barcelona, ??with international success and recognition.

  14. Discover the journey of Charles Leclerc https://ferrari.charles-leclerc-fr.com, from young Monegasque driver to Ferrari Formula 1 leader, from his early years to his main achievements within the team.

  15. Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.

  16. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  17. From childhood teams to championship victories, the path to success with the Los Angeles Lakers https://los-angeles-lakers.lebron-james-fr.com requires not only talent, but also undeniable dedication and work.

  18. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  19. The story of the Moroccan footballer https://al-hilal.yassine-bounou.com, who became a star at Al-Hilal, traces his journey from the streets of Casablanca to international football stardom and his personal development.

  20. Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.

  21. The history of Michael Jordan’s Chicago Bulls https://chicago-bulls.michael-jordan-fr.com extends from his rookie in 1984 to a six-time NBA championship.

  22. Neymar https://al-hilal.neymar-fr.com at Al-Hilal: his professionalism and talent inspire young people players, taking the club to new heights in Asian football.

  23. Golden State Warriors success story https://golden-state-warriors.stephen-curry-fr.com Stephen Curry: From becoming a leader to creating a basketball dynasty that redefined the game.

  24. The story of the great Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobe-bryant-fr.com with ” Los Angeles Lakers: his path to the championship, his legendary achievements.

  25. Find out the story of Jon Jones https://ufc.jon-jones-fr.biz in the UFC: his triumphs, records and controversies, which made him one of the greatest fighters in the MMA world.

  26. Del Mar Energy Company is an international industrial holding company engaged in the extraction of oil, gas, and coal

  27. The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.

  28. Novak Djokovic’s https://tennis.novak-djokovic-fr.biz journey from childhood to the top of world tennis: early years, first victories, dominance and influence on the sport.

  29. Привет, друзья!
    Приобрести диплом о высшем образовании
    Мы предлагаем выгодно и быстро заказать диплом, который выполнен на оригинальной бумаге и заверен печатями, штампами, подписями должностных лиц. Документ пройдет лубую проверку, даже при использовании профессионального оборудования. Решите свои задачи максимально быстро с нашими дипломами.
    Где купить диплом по необходимой специальности?
    http://toursoul.ru/?p=19216
    Рады оказаться полезными!.

  30. [u][b] Здравствуйте![/b][/u]
    Заказать диплом о высшем образовании
    [b]Наша компания предлагает[/b] выгодно и быстро заказать диплом, который выполняется на оригинальной бумаге и заверен мокрыми печатями, штампами, подписями официальных лиц. Диплом способен пройти любые проверки, даже при помощи профессионального оборудования. Решайте свои задачи быстро и просто с нашими дипломами.
    [b]Где приобрести диплом специалиста?[/b]
    https://usa.life/read-blog/63421
    [u][b] Рады оказаться полезными![u][b].

  31. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  32. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  33. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  34. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  35. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  36. The powerful story of Conor McGregor’s https://ufc.conor-mcgregor-fr.biz rise to a two-division UFC championship that forever changed the landscape of mixed martial arts.

  37. The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.

  38. The fascinating story of how Lewis Hamilton https://mercedes.lewis-hamilton-fr.biz became a seven-time Formula 1 world champion after signing with Mercedes.

  39. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  40. The fascinating story of the creation and rapid growth of Facebook https://facebook.mark-zuckerberg-fr.biz under the leadership of Mark Zuckerberg, who became one of the most influential technology entrepreneurs of our time.

  41. Une ascension fulgurante au pouvoir Donald Trump https://usa.donald-trump-fr.com et son empire commercial

  42. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  43. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  44. The story of Joe Biden’s https://president-of-the-usa.joe-biden-fr.com triumphant journey, overcoming many obstacles on his path to the White House and becoming the 46th President of the United States.

  45. Travel to the pinnacle of French football https://stadede-bordeaux.bordeaux-fr.org at the Stade de Bordeaux, where the passion of the game meets the grandeur of architecture.

  46. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  47. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  48. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  49. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  50. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *