Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu baada kupokea majengo saba yaliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya China. (Picha na Jeshi la Polisi)

MWAKILISHI WA BALOZI WA CHINA AKABIDHI MAJENGO SABA KATIKA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI

SIRRO
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akisalimiana na mwakilishi wa Barozi wa China hapa nchini Mr Xu Chen baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi katika hafla fupi ya kupokea majengo saba yaliojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya China.
SIRO-2
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob G. Kingu akipokea mfano wa funguo kutoka kwa mwakilishi wa Barozi wa China Mr Xu Chen baada ya kumaliza kukabidhiwa majengo saba yatakayo tumika kwa ajili ya ukufunzi wa Maafisa na Askari katika chuo cha Polisi Moshi.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA POLISI JIJINI DODOMA

    p3:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *