RC RUVUMA AFUNGUA SOKO LA MADINI TUNDURU Matokeo ChanyA+ May 30, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,027 Imeonekana Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katikati akipiga makofi jana mara baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa soko la kuuzia Dhahabu na madini ya vito katika wilaya ya Tunduru mkoani humo,wa kwanza kushoto mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Mkwanda Sudi ,Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo na kulia Afisa madini Mkazi wa wilaya hiyo Juma Kapela. Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme katikati akikata utepe kufungua soko la kuuzia Dhahabu na madini ya vito wilaya ya Tunduru kama utekelezaji wa agiza ka Rais Dkt John Magufuri aliloagiza kila wilaya na mkoa ambao una madini kufungua soko la kuuzia madini ambalo litawezesha wauzaji na wanunuzi kuuzia madini. Picha na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest