Maktaba ya Mwezi: May 2019
KITUO KIKUBWA CHA BIASHARA CHA AFRIKA MASHARIKI KUJENGWA NYAKANAZI MKOANI KAGERA
Serikali inatekeleza mpango mkakati wa kujenga Kituo kikumbwa cha Biashara cha Afrika Mashariki katika eneo la Nyakanazi Mkoani Kagera ili kuwanufaisha wananchi wanozunguka eneo hilo na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki- EAC. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …
Soma zaidi »BILIONI 20 ZAKUSANYWA ADA YA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI
Takriba Sh bilioni 20.3 zimefikishwa kwenye mfumo wa malipo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) baada ya kugawa vitambulisho vya wajasiliamali vipatavyo 1,022,178. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo alipokuwa akizungumza na wakuu wa mikoa kabla ya kupitia …
Soma zaidi »TANZANIA TUNAO UWEZO MKUBWA WA KUZALISHA MIFUKO MBADALA – MAKAMBA
Tanzania inao uwezo mkubwa wa kuzalisha mifuko mbadala ambayo itatosheleza kufanikisha azma yake ya kupiga marufuku biashara na matumizi ya mifuko ya plastiki. Hayo yamebainishwa na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, mhe. Januari Makamba wakati akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa …
Soma zaidi »WIZARA YA MAJI KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WA MIJI 29 BARA NA VISIWANI
LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA UYUI, KUMALIZIKA MWEZI JUNI
Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Uyui unatarajia kukamilika mwishoni mwa Mwezi ujao tayari kwa ajili ya kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya wakati akielezea maendeleo ya ujenzi wa majengo saba ya Hospitali hiyo. Alisema kwa upande wa jengo …
Soma zaidi »MARUFUKU AJIRA KWA WATOTO KWENYE SEKTA YA TUMBAKU – WAZIRI HASUNGA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amesisitiza agizo lake alilolitoa hivi karibuni kuhusu ajira kwa watoto ambao wapo chini ya miaka 18. Mhe Hasunga amepiga marufuku kitendo hicho tarehe 13 Mei 2019 wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Tumbaku katika hafla ya ufunguzi wa msimu wa masoko ya Tumbaku …
Soma zaidi »