Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola, akimuuliza swali Mkurugenzi wa Viwanja vya Ndege, Paulo Rwegasha (watatu kushoto)alipofanya ziara katika Uwanja wa Ndege cha Julius Nyerere (JNIA-Termila III) kwa ajili ya kuvikagua vyombo vyake vitakavyotoa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola leo Jumapili Juni 9, 2019 amefanya ziara katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere-JNIA (Terminal III), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuvikagua vyombo vyake (Jeshi la Polisi, Zimamoto na Uhamiaji), kabla ya Jengo jipya la uwanja huo halijafunguliwa rasmi.