WAFANYABIASHARA WA TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO KUTOKA NCHI 54 ZA AFRIKA KATIKA MAONESHE YA BIDHAA ZAO KATIKA SOKO LA CHINA Matokeo ChanyA+ June 14, 2019 Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 704 Imeonekana Wafanyabiashara kutoka Tanzania wataungana na wenzao kutoka nchi 54 za Afrika kuonesha bidhaa zao katika soko la China.Aidha nchi (6) ikiwemo Tanzania zimepewa hadhi ya Special Guest Country na zitakuwa na Mabanda Maalum ya Kitaifa kwa ajili ya kutangaza fursa za utalii biashara Wafanyabiashara kutoka Tanzania wataungana na wenzao kutoka nchi 54 za Afrika kuonesha bidhaa zao katika soko la China.Aidha nchi (6) ikiwemo Tanzania zimepewa hadhi ya Special Guest Country na zitakuwa na Mabanda Maalum ya Kitaifa kwa ajili ya kutangaza fursa za utalii biashara Wafanyabiashara kutoka Tanzania wataungana na wenzao kutoka nchi 54 za Afrika kuonesha bidhaa zao katika soko la China.Aidha nchi (6) ikiwemo Tanzania zimepewa hadhi ya Special Guest Country na zitakuwa na Mabanda Maalum ya Kitaifa kwa ajili ya kutangaza fursa za utalii biashara Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest