Maktaba ya Mwezi: September 2019
SERIKALI KUJENGA MTO MSIMBAZI
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID) inatekeleza mradi wa Tanzania Urban Resilience Programme (TURP) ambao umelenga kuzisaidia Halmashauri na Serikali Kuu katika kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi. …
Soma zaidi »WAZIRI LUGOLA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI JIJINI DODOMA
WAZIRI MKUU AZINDUA MFUMO WA UENDESHAJI BUNGE KIDIGITALI
BENKI YA DUNIA YARIDHIA MKOPO WENYE MASHARTI NAFUU WA DOLA MILIONI 450
Bodi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 450, sawa na shilingi za Tanzania trilioni 1 kwa ajili ya Mradi wa kusaidia Kaya Masikini nchini Tanzania kupitia TASAF.
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
SERIKALI KUWEZESHA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO (ASA) KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA NA KUIMARISHA SOKO LA ZAO LA NAZI
Upatikanaji wa mbegu bora zikiwemo za mahindi ngano, maharage, mpunga, soya, alizeti, mtama, ufuta, viazi mviringo na mbegu za mazao ya bustani kwa msimu wa 2018/19 ulifikia tani 49,040 kati ya hizo tani 38,507 sawa na asilimia 78.6 zilizalishwa nchini na tani 8,361 sawa na asilimia 17 ziliagizwa nje ya …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA DIWANI ATHUMAN KUWA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
SERIKALI YAKAMILISHA MCHAKATO WA KUWASOMESHA WATAALAM 100 WA KILIMO ISRAEL
Serikali imekamilisha zoezi la kuwapeleka wataalam 100 wa kilimo nchini Israel kujifunza mbinu bora na teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji nchini. Akiongea na wataalam hao wakati wa hafla ya kuwaaga jana jioni, Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika …
Soma zaidi »MKANDARASI MRADI WA UMEME MTERA ATAKIWA KUMALIZA KAZI OKTOBA, 2019
Mkandarasi anayetekeleza mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Mtera, ameagizwa kumaliza kazi hiyo ifikapo tarehe 4 Oktoba mwaka huu ili kuwezesha vijiji takribani 70 katika mkoa wa Iringa na Dodoma kupata umeme wa uhakika kwani sasa wanapata umeme wenye nguvu dogo. Maagizo hayo yalitolewa na Waziri wa …
Soma zaidi »