WAKAZI WA KIGWA KUPATA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWA GHARAMA YA BILIONI 10

  • Serikali imeamua kupeleka maji katika Kata ya Kigwa wilayani Uyui kupitia mradi wa ujenzi wa bomba la maji kutoka Ziwa Victoria kwa gharama isiyopungua shilingi bilioni 10.
  • Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa baada ya kusikia kilio cha wakazi wa Kigwa cha tatizo la maji akiwa katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi.
  • Alisema kuwa eneo hilo hakuna mto wala bwawa na ndio maana katika kata hiyo kuna tatizo kubwa la maji na ndio maana Serikali imesikia kilio chao na kuamua kutatua tatizo la wananchi hayo.
  • Waziri huyo alisema kama Serikali imeweza kutoa maji kutoka Ziwa Victoria haiwezekani kushindwa kupeleka maji kwa wakazi wa Kigwa ambao wako umbali wa Kilometa 29 kutoka bomba kuu.
  • Profesa Mbarawa amesema mradi huo huo ukikamilika utasaidia kuwanufaisha vijiji 16 vya Jimbo la Igalula.
  • Alisema utekelezaji wa mradi huo unatarajiwa kuanza Mwezi Desemba mwaka huu na kuongeza kuwa utekelezaji wa ujenzi wake utawahusisha vijana wa Kigwa,
  • Kwa upande wa Mbunge wa Jimbo la Igalula Mussa Ntimizi aliishukuru Serikali kwa uamuzi wake wa kuchukua maji kutoka mradi wa bomba la Ziwa Victoria na kuwapelekea baadhi ya wakazi wa jimbo hilo ambalo lilikuwa limesaulika katika mradi wa kwanza wa kuleta maji mkoani Tabora.
  • Alisema hatua hiyo na ile ya kutekeleza mradi wa Tura itasaidi kuwatua ndoo wanawake wa Kigwa kama walivyoaahidi kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM yam waka 2015
  • Naye Mkazi wa Kigwa Dotto Mrisho alisema kuwa 2010 walijengewa tenki la maji ambapo yalitoka siku alipofika Waziri Mkuu wakati ule Mizengo Pinda lakini baada ya kuondoka hakuna maji tena toka siku ile hadi leo.
  • Alisema kitendo kile kiliwavunja moyo na kuona kila anapokuja kiongozi anapowaambia kuwa wataletewa maji wanajua kuwa wanadanganywa.
  • Mrisho alisema kuwa anaamini juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano itawasaidia kuwaondolea kero ya maji katika eneo lao la Kigwa.
  • Semeni Misana alisema tatizo la maji katika eneo hilo ni tatizo kubwa jambo linalowafanya waamuke usiku sana kutafuta maji ambao wakati mwingine wanakabiliwa na matatizo mengi ikiwemo kukataliwa na wenye visima.chanzo Michuziblog
Ad

Unaweza kuangalia pia

NAIBU WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI MWIKA KUSINI UTAKAOHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 19,000

222 Maoni

  1. http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid price
    where can i buy doxycycline capsules 100 mg doxycycline doxycycline minocycline

  2. paxlovid price: Paxlovid buy online – paxlovid generic

  3. cost clomid without insurance: cost of cheap clomid pills – can i get clomid without rx
    http://amoxildelivery.pro/# amoxicillin canada price
    ciprofloxacin cipro ciprofloxacin ciprofloxacin generic

  4. http://amoxildelivery.pro/# where to get amoxicillin over the counter
    amoxicillin 500mg amoxicillin for sale online amoxicillin 1000 mg capsule

  5. https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid cost without insurance

  6. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  7. get clomid no prescription: can i get generic clomid without prescription – can i purchase clomid now

  8. cheapest doxycycline tablets: doxycycline 100mg coupon – doxycycline buy canada 100mg
    http://amoxildelivery.pro/# amoxicillin script
    can i get clomid without prescription cost of clomid without dr prescription buy cheap clomid prices

  9. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  10. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  11. https://paxloviddelivery.pro/# п»їpaxlovid
    where can i buy amoxicillin over the counter can you buy amoxicillin over the counter canada where to buy amoxicillin over the counter

  12. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  13. amoxicillin 500mg capsule cost: buy amoxicillin without prescription – over the counter amoxicillin canada
    https://amoxildelivery.pro/# how to get amoxicillin
    paxlovid pharmacy paxlovid pharmacy paxlovid pharmacy

  14. buy cipro online without prescription: cipro pharmacy – buy cipro without rx

  15. https://clomiddelivery.pro/# where can i get generic clomid without rx

  16. http://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline buy online usa
    doxycycline mexico otc doxycycline no prescription doxycycline 100mg cost australia

  17. medicine amoxicillin 500mg: buy amoxicillin 500mg online – amoxicillin 500mg capsule
    http://clomiddelivery.pro/# can i order generic clomid pills
    doxycycline 250 mg buy generic doxycycline 40mg doxycycline prescription discount

  18. http://clomiddelivery.pro/# how to get generic clomid tablets

  19. http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid covid
    where to buy amoxicillin 500mg without prescription cost of amoxicillin 875 mg buy amoxicillin over the counter uk

  20. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  21. buying doxycycline uk: doxycycline over the counter canada – doxycycline 100 cost

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *