MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFYA WA NCHI ZA SADC

1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wa kushoto katika Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Katibu Mkuu wa SADC Dkt. Stergomena L. Tax wa kushoto katika Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
3-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dkt. Stergmena Tax, Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda waliokaa, pamoja viongozi mbalimbali.
4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa SADC Dkt. Stergmena Tax, Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshugulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda waliokaa, pamoja viongozi mbalimbali.
5-01
Katibu Mkuu wa SADC Dkt. Stergomena L. Tax katika Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
6-01
 Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
7-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
9-01
Mawaziri mbalimbali kutoka nchi za SADC katika Mkutano wa siku tano kwa Mawaziri wa Sekta ya Afya na Ukimwi kwa Nchi Kumi na Sita Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Unaojadili Mustakbali wa Masuala yote ya afya, Mikakati dhidi ya Ukimwi, kuangalia hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Afya ya SADC ya Mwaka 1999, Mpango Mkakati wa Kanda wa Masuala ya Afya na kuridhia kwa pamoja Maazimio mbalimbali yanayohusiana na Afya kwa Nchi za SADC. Mkutano huo Umefunguliwa leo Novemba 07,2019 katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT CC) Jijini Dar es salaam.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI UMMY AWATAKA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA AFYA ZA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwekeza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.