Maktaba ya Kila Siku: December 3, 2019

TANZANIA NA NAMIBIA ZAJIDHATITI KUKUZA SEKTA YA BIASHARA

Serikali ya Tanzania na ya Namibia zajidhatiti kukuza na kuendeleza kiwango cha biashara na uchumi kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kati ya mataifa hayo. Makubaliano hayo yamefikiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri Wizara …

Soma zaidi »

TANZANIA NA NAMIBIA WAJADILIANA KUHUSU SACREEE

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na Naibu Waziri wa Nishati wa Namibia, Kornelia Shilunga pamoja na ujumbe wake, wamekutana na kujadili kwa pamoja kuhusu Kituo cha Nishati Jadidifu na matumizi bora ya Nishati cha nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SACREEE). Mgalu alikutana na ujumbe huo, Desemba 2, 2019, uliofika …

Soma zaidi »

SERIKALI NA WIZARA YA MADINI KUSAINI MKATABA WA UTENDAJI KAZI

Mafunzo ya  Mkataba wa Utendaji Kazi kwa Serikali na Taasisi za umma yameanza kufanyika kwa viongozi waandamizi wa wizara ya Madini, wakuu wa idara na vitengo na maafisa bajeti wa kila idara na kitengo kuhudhuria mafunzo hayo yanayotolewa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora …

Soma zaidi »