Nchi za Nordic zina jumla ya watu milioni 27 tu, huku Pato lao kwa mwaka ni Dola za Marekani trilioni 1.7; (Dola za Marekani Bilioni 1700.) Tanzania ambao idadi ya watu ni milioni 55, mara mbili zaidi ya nchi za Nordic, Pato la Taifa kwa mwaka jana lilikuwa na thamani …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na Nordic (Afrika 29 na 5 za Nordic)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amefungua Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu. Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiaano wa Kimataifa Profesa Palamagamba …
Soma zaidi »Alisema Tore Linné Eriksen, msomi na mwanaharakati wa Norway.
“Jukumu lililochukuliwa na Julius Nyerere na Kenneth Kaunda halipaswi kupuuzwa. Nyerere alikuwa maarufu sana katika nchi za Scandinavia. Na alikuwa anazungumza wazi pale lilipohusu Kusini mwa Afrika, na kila wakati alikuwa akizungumza, wakati alipotembelea Norway, nchi yake haikujiona huru kama Afrika Kusini haikuwa huru. Na Kaunda, ambaye pia alikuwa akiheshimiwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA AFYA WA NCHI ZA SADC
HATUTAONGEZA MUDA – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amekataa maombi ya mkandarasi kampuni ya KEC International Ltd kutoka India, anayetekeleza mradi wa kupanua kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu, mkoani Dodoma, kuongezewa miezi mitatu zaidi ili akamilishe kazi hiyo. Badala yake, Dkt Kalemani amemtaka Mkandarasi huyo kukamilisha kazi husika na kuikabidhi kabla …
Soma zaidi »TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali. Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na …
Soma zaidi »MAAMBUKIZI YA VVU YAMEPUNGUA KWA WATU WAZIMA KWA ASILIMIA 20.6 NA ASILIMIA 31.3 KWA WATOTO WALIO CHINI YA MIAKA 15 – DKT CHAULA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula leo amefungua Mkutano wa Makatibu Wakuu wa afya wa nchin wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambapo amesema mkutano huo utapitia ajenda kuu 13 za mkutano zitakazojadiliwa kwenye mkutano wa Mawaziri wa Afya wa nchi za SADC. Akizungumza Dkt …
Soma zaidi »WAKAZI WA KIGWA KUPATA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWA GHARAMA YA BILIONI 10
Serikali imeamua kupeleka maji katika Kata ya Kigwa wilayani Uyui kupitia mradi wa ujenzi wa bomba la maji kutoka Ziwa Victoria kwa gharama isiyopungua shilingi bilioni 10. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa baada ya kusikia kilio cha wakazi wa Kigwa cha tatizo la maji …
Soma zaidi »TAKWIMU RASMI ZATAJWA KUCHOCHEA UFANISI WA MIRADI
Serikali ya Awamu ya Tano imetajwa kufanikiwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutokana na matumizi bora ya takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Akizungumza leo Jijini Dodoma, Mtakwimu mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa amesema kuwa Ofisi hiyo imefanikiwa kuzalisha takwimu zenye ubora wa viwango vinavyokubalika …
Soma zaidi »MKUCHIKA: KILA MMOJA ANA JUKUMU LA KUPAMBANA NA RUSHWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utwala Bora, Kapteni, George Mkuchika amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali katika kupambana na Rushwa ili kupunguza ajali za barabarani pamoja na kuwezesha upatikanaji wa haki kwa wananchi. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya kuzuai rushwa barabarani Waziri Mkuchika amasema kuwa katika kampeni …
Soma zaidi »