TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA

1 b-01
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshirika katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China
  • Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali.
  • Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na kutangaza vivutio vya kiutalii vinavyopatikana Tanzania.
9b-01
Muonekano mbalimbali za Banda la Tanzania katika Maonesho ya Pili ya bidhaa za Nje yaliyofunguliwa leo jijini Shanghai
2b-01

3b-01

4b-01

5b-01
Miongoni mwa bidhaa zinazooneshwa katika banda la Tanzania katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China
6b-01

8b-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWEKEZA, TUMIENI FURSA ZILIZOPO – WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *