Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo mara baada ya kukagua barabara ya Iyogwe-Chakwale-Ngilori yenye urefu wa KM 42, wilayani Gairo, Naibu Waziri amesema Serikali imejipanga kuhakikisha madaraja 3 katika barabara hiyo yanakamilika na hivyo kuwezesha shughuli za kiuchumi na uzalishaji kwa wakazi wa eneo hilo.
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
RAIS MAGUFULI AWAPONGEZA WANANCHI WA CHATO KWA KUCHAPA KAZI NA KUJILETEA MAENDELEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza wananchi wa Chato Mkoani Geita kwa kuitikia wito wa Serikali wa kuongeza juhudi katika kazi za uzalishaji mali hali iliyoiwezesha Wilaya hiyo kupiga hatua kubwa za kimaendeleo. Mhe. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo tarehe 01 Julai, …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA UONGOZI WA KIWANDA CHA GOOD WILL KUZINGATIA USTAWI WA WAFANYAKAZI WAKE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchi Mhe. Angellah Kairuki ameutaka uongozi wa Kiwanda cha kutengeneza marumaru cha GoodWill Tanzania ceramic ltd kuzingatia ustawi wa wafanyakazi wake kwa kuzingatia kanuni na sheria mbalimbali za ajira nchini ili kuendelea kuwa mazingira mazuri ya wafanyakazi wake. Ametoa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA MADINI ATEMBELEA MTAMBO WA KUCHENJUA DHAHABU WA KAMPUNI YA CHINA GOLD
SMZ YAJIPANGA KUJENGA MIJI MIPYA YA KISASA KATIKA SHEHIA ZA KWAHANI, CHUMBUNI NA BUBUBU
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud ameelezea kuridhishwa kwake na jinsi Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanavyotafuta na kutumia fursa zilizopo kushajihisha maendeleo ya jamii nchini Akizungumza na ujumbe wa Watanzania wanaoishi nje ya nchi wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza la Watanzania wanaoishi nje ya nchi (TDC …
Soma zaidi »SOKO LA UNUNUZI NA UUZAJI MADINI MKOA WA KATAVI, LAZIDI KUIMARIKA
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amefanya ziara katika mgodi wa Dilifu wa wachimbaji wadogo na mgodi mkubwa wa Katavi, Kapufi mining. Akizungumza katika ziara hiyo mkuu wa Mkoa amewaasa wachimbaji kutumie soko ya madini lilolifunguliwa mkoani humo kuuza madini yao Homera ameahidi kupambana na watoroshaji wa madini ya …
Soma zaidi »TUMIENI UMEME KUANZISHA MIRADI YA MAENDELEO – DKT. KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaasa wananchi wa Kitongoji cha Mwamagili, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kutumia umeme aliowawashia rasmi jana, Juni 30, 2019 kwa kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Akizungumza na wananchi hao muda mfupi kabla ya kuwasha umeme katika nyumba ya mkazi wa kitongoji hicho, Kashonele …
Soma zaidi »PROF KABUDI ZIARANI FALME ZA KIARABU
Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu zimekubaliana kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika masuala ya usalama wa eneo la Ghuba na bahari ya Hindi pia kusaidia kuimarisha hali ya usalama katika nchi za Somalia na Sudan. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya …
Soma zaidi »WAZIRI KAIRUKI AUTAKA UONGOZI WA KNAUF KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA JAMII INAYOWAZUNGUKA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji Mhe. Angellah Kairuka ameutaka uongozi wa kiwanda kinachotengeneza bidhaa za cha za jasi (Gypsumboard) cha KNAUF kuendelea kushirikiana na jamii inayowazunguka katika kujiletee maendeleo. Ametoa kauli hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii alipotembelea kiwanda hicho kilichopo katika Halmashauri ya …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI ATIMIZA AHADI YAKE KUWAWASHIA UMEME WANANCHI WA MWAKITOLYO
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwanzoni mwa mwezi huu (Juni) kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakitolyo, Shinyanga Vijijini, kuwa umeme utawashwa katika eneo lao kabla ya Julai, 2019. Dkt. Kalemani alitimiza ahadi hiyo jana, Juni 29, 2019 akiwa katika ziara ya kazi mkoani Shinyanga, …
Soma zaidi »