Naibu Waziri wa Madini Mhe Stanslaus Nyongo atembelea mtambo wa kuchenjua dhahabu (gold refinery) wa Kampuni ya China Gold. Kampuni hiyo ambayo ni mwanachama wa London Gold Bullion Exchange Market imeelezea nia yake kuchangamkia fursa ya kuwekeza katika sekta ya madini nchini.