Maktaba ya Kila Siku: January 1, 2020

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO VIJIJINI MLELE

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe amezindua huduma ya mawasiliano vijijini kwenye Wilaya ya Mlele mkoani Katavi . Mhandisi Kamwelwe amefanya uzinduzi huo jana kwenye kijiji cha Kanoge kilichopo Kata ya Utende Wilayani Mlele mkoani Katavi kwa kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Mfuko wa Mawasiliano …

Soma zaidi »