Maktaba ya Kila Siku: January 30, 2020

BALOZI WA ISRAEL ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Israel imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kuhakikisha watoto wenye magonjwa ya moyo wanapata matibabu kwa wakati. Hayo yamesemwa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Oded Joseph alipotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona …

Soma zaidi »

DIPLOMASIA YA TANZANIA YAZIDI KUIMARIKA

Mara kadhaa tumekua tukiona Rais Dkt. John Magufuli akiwaapisha mabalozi wateule ambao wanakwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mataifa mbalimbali ulimwenguni. Katika miaka mitano ya uongozi wake, Rais Magufuli ameteua jumla ya mabalozi 42 na Mabalozi wadogo watatu hivyo kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya wawakilishi 45 kati ya mataifa 195 yanayotambuliwa …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA NORFUND

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Uwekezaji wa Norway kwa nchi zinazoendelea (Norwegian Investment Fund for Developing Countries – Norfund), Bw. Tellef Thorleifsson. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ndogo za wizara …

Soma zaidi »