Maktaba ya Kila Siku: January 4, 2020

RC MAHENGE ATAKA WANAFUNZI WOTE WALIOFAULU NA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA WARIPOTI SHULENI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameziagiza halmashauri nane za Mkoa wa Dodoma kusimamia na kuhakikisha wanafunzi wote elfu 33,803 waliofaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti shuleni na kuanza masomo ifikapo Januari 6 mwaka huu. Dkt. Mahenge ametoa kauli hiyo januari 3 kwenye kikao …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa ardhi iliyotengwa kwa ajili ya kilimo hapa Zanzibar ni vyema ikatumika kwa ajili ya shughuli hiyo na si vyenginevyo. Rais Dk. Shein aliyasema hayo  katika hotuba yake aliyoitoa katika uwekaji wa jiwe la msingi la …

Soma zaidi »

RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA BANDARI YA UVUVI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imo katika mchakato wa kutekeleza uchumi wa buluu na tayari hatua kubwa zinachukuliwa kuhakikisha lengo hilo linafikiwa. Rais Dk. Shein aliyasema hayo  katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi …

Soma zaidi »