Maktaba ya Kila Siku: January 23, 2020

RAIS MAGUFULI AKASIRISHWA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI NA JESHI LA ZIMAMOTO

Rais Dkt. John  Magufuli amesikitishwa na kitendo cha viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa vya zimamoto na uokoaji vyenye thamani ya Euro Milioni 408.5 (sawa na zaidi ya shilingi Trilioni 1) kutoka kampuni …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ALITAKA JESHI LA MAGEREZA KUJITATHIMINI

Rais Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini …

Soma zaidi »

TUNAJUA WATENDAJI WAKIPATA MAKAZI BORA WATAONGEZA UFANISI KATIKA KAZI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amempongeza Rais Dkt John Magufuli kwa jitihada anazofanya kuhakikisha Maafisa na Askari wanaishi katika makazi bora na familia zao. Dkt. Mwinyi amesema hayo katika ufunguzi wa nyumba za Maafisa na Askari wa Gereza la Ukonga Jijini Dar Es Salaam, …

Soma zaidi »

WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WIKI MOJA KUREKEBISHWA KWA DOSARI KATIKA MACHINJIO YA MSALATO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene hii  amegoma kufungua machinjio ya Msalato jijini Dodoma kwa kutokidhi vigezo vya ubora vinavyoridhisha ikiwemo ukarabati wa kiwango cha chini na kutoa muda wa wiki ya moja kurekebisha dosari zilizobainika. Ametoa uamuzi huo wakati akitembelea jengo …

Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA MAGEREZA, UKONGA DSM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam. Novemba 29, 2016 Rais Maguli aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAZIDI KUBANA MIANYA YA WIZI WA MAPATO YA NDANI

Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato  kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo. Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati …

Soma zaidi »