Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27 Januari, 2020 amewaapisha Mawaziri 2 na Mabalozi 3 aliowateua hivi Karibuni. Mawaziri walioapishwa ni George Boniface Mwataguluvala Simbachawene aliyeapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mussa Azzan Zungu aliyeapishwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 27, 2020
KINU CHA KUFUA HEWA KCMC KUWA MSAADA KWA WENYE MATATIZO YA UZAZI
Imeelezwa kuwa uwepo wa kinu kipya na cha kisasa chenye uwezo wa kufua hewa ikiwemo hewa safi ya Oxygen na ile ya Naitrojeni kitakuwa msaada kwa wenye tatizo la uzazi nchini. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kaskazini (KCMC) imesema kuwa, wananchi watapata msaada huo kwani watakuwa na uwezo wa …
Soma zaidi »HOSPITALI YA MAWENZI YAWAFANYIA UPASUAJI WA JICHO WAGONJWA 640
Kufuatia maboresho mbalimbali katika Sekta ya Afya hapa Nchini Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ya Mkoa wa Kilimanjaro imeweza kufanya upasuaji wa kuondoa ukungu wa jicho kwa wagonjwa 640. Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na Timu ya Maafisa Habari wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto …
Soma zaidi »SERIKALI KUPELEKA MAWASILIANO YA SIMU SINGIDA MASHARIKI
Serikali imeahidi kujenga mnara wa simu katika Kijiji cha Msule kilichopo kata ya Misugha jimbo la Singida Mashariki ili kuwasaidia wananchi kuondokana na changamoto iliyopo. Kufuatia ahadi hiyo imelielekeza Shirika la Mawasiliano Tanzania(TTCL)kujenga mnara huo na kuhakikisha hadi Agosti mwaka huu wawe wamewasha rasmi mawasiliano. Agizo hilo linafuatia ombi la …
Soma zaidi »SERIKALI KUIPATIA BILIONI MBILI KCMC KWA AJILI YA JENGO LA MIONZI
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuipatia kiasi cha shilingi bilioni mbili hospitali ya rufaa ya kanda KCMC ili kuweza kutoa huduma za tiba za mionzi hospitalini hapo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy …
Soma zaidi »