TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

  • Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika.
  • Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza kuwa katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano taasisi hiyo imepanua huduma zake na kuboresha huduma za matibabu ya moyo kwa kiwango cha kimataifa.
  • “Katika kipindi cha miaka minne wagonjwa waliopatiwa huduma ni 300,836 ambao walitibiwa na kurudi nyumbani na wagonjwa 14,960 ambao walilazwa kwa ajili ya kupata matibabu zaidi, na mahitaji yanazidi kuongezeka hata kutoka katika nchi jiraniani”, Alisema Prof.Janabi.
  • Alisema kuwa mahitaji ya ujenzi wa hospitali kubwa ya Mloganzila yanatokana na kuwepo kwa wagonjwa wengi nje ya nchi ambao wamekuwa wakija kupata matibabu kwa hiyo uwepo wa hospitali hiyo kutaimarisha utoaji huduma za matibabu ya moyo hapa nchini.
  • Katika kipindi cha Miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano JKCI imeweza kufanya upasuaji mkubwa kwa kusimamisha moyo kwa wagonjwa 1,537 kwa mafanikio makubwa huku vifo vikiwa ni asilimia 6 tu sawa na wagonjwa 92 kitu ambacho kinawashawishi nchi jirani kama Uganda, Rwanda, Malawi, Burundi na Congo DRC kuleta wagonjwa wao kwenye Taasisi hiyo.
  • Prof.Janabi alisema kuwa uwepo wa vifaa vya kisasa na wataalam waliobobea kumewezesha zoezi la upasuaji kuwa salama,  ambapo upasuaji wa moyo kwa njia ya tundu dogo linalotobolewa kwenye paja kwa kutumia mtambo wa cathlab (catheterization), wagonjwa  4,207 walipata huduma hiyo huku vifo vikiwa ni asilimia 1.3 tu sawa na wagonjwa 42.
  • “Katika kipindi cha miaka minne huduma za JKCI zimeweza kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 86 kwa kufanya upasuaji kwa wagonjwa 5,744 ambao wangeenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na uwepo wa vifaa vyenye uwezo mkubwa, hususani kwenye masuala ya upasuaji  wa moyo kwa njia ya tundu dogo” Alisema Prof.Janabi.
  • Aidha katika kipindi hiki cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, JKCI imeongeza ujuzi wa wataalam ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kutoa matibabu ya moyo yaliyo salama na kwa wagonjwa wengi ikitanguliwa na Afrika ya Kusini
  • Aliongeza kuwa JKCI imefanikiwa kufanya upasuaji wa moyo kwa mtoto mdogo mwenye umri wa siku 7 na mzee mwenye umri wa miaka 101 ambao kwa sasa wagonjwa hao wote wawili wanaendelea vizuri na maisha yao.
  • “katika kukabiliana na changamoto ya idadi kubwa ya wagonjwa, Rais John Magufuli mwezi Januari 2019 alitoa nafasi kwenye jengo la watoto lililopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kliniki za watoto tu”, Alisema Prof. Janabi.
  • Prof.Janabi alisema kuwa JKCI imenunua mashine mpya mbalimbali za matibabu ya moyo zikiwemo mashine za kuchunguza jinsi moyo unavyofanya kazi, mfumo wa umeme wa moyo  unavyofanya kazi, ventilators, cardiac monitors, test gears, mashine ya X-ray pamoja na vifaa vya chumba cha tatu cha upasuaji.
  • Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ni hospitali kuu maalum kwa ajili ya matibabu ya moyo inayomilikiwa na Serikali ambayo ilianzishwa Septemba 2015,ambayo imeendelea kuitangaza vyema nchi yetu hata katika nje ya mipaka yetu.Na.Paschal Dotto-MAELEZO.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

226 Maoni

  1. смотреть бесплатно атака титанов https://ataka-titanov-anime.ru

  2. сериал волчонок все сезоны в хорошем качестве https://volchonok-tv.ru

  3. Jamal Musiala https://jamal-musiala.prostoprosport-fr.com footballeur allemand, milieu offensif du club allemand du Bayern et du equipe nationale d’Allemagne. Il a joue pour les equipes anglaises des moins de 15 ans, des moins de 16 ans et des moins de 17 ans. En octobre 2018, il a dispute deux matchs avec l’equipe nationale d’Allemagne U16. En novembre 2020, il a fait ses debuts avec l’equipe d’Angleterre U21.

  4. Lionel Messi https://lionelmessi.prostoprosport-br.com e um jogador de futebol argentino, atacante e capitao do clube da MLS Inter Miami. , capitao da selecao argentina. Campeao mundial, campeao sul-americano, vencedor da Finalissima, campeao olimpico. Considerado um dos melhores jogadores de futebol de todos os tempos.

  5. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  6. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  7. The latest top football news https://futbol.com.az today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  8. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  9. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  10. https://santekhnik-moskva.blogspot.com — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  11. Latest news and analytics of the Premier League https://premier-league.com.az. Detailed descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events. EPL Azerbaijan is the best place for football fans.

  12. Check out the latest news, guides and in-depth reviews of the available options for playing Minecraft Az https://minecraft.com.az. Find the latest information about Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  13. Хотите сделать в квартире ремонт? Тогда советуем вам посетить сайт https://stroyka-gid.ru, где вы найдете всю необходимую информацию по строительству и ремонту.

  14. Latest news about games for Android https://android-games.com.az, reviews and daily updates. Read now and get the latest information on the most exciting games

  15. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  16. Pin Up official https://pin-up.adb-auto.ru website. Login to your personal account and register through the Pin Up mirror. Slot machines for real money at Pinup online casino.

  17. Pin Up Casino https://pin-up.noko39.ru Registration and Login to the Official Pin Up Website. thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino. Come play and get big bonuses from the Pinup brand today

  18. Реальные анкеты проституток https://prostitutki-213.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  19. Pin Up Casino https://pin-up.sibelshield.ru official online casino website for players from the CIS countries. Login and registration to the Pin Up casino website is open to new users with bonuses and promotional free spins.

  20. Pin Up Casino https://pin-up.ergojournal.ru приглашает игроков зарегистрироваться на официальном сайте и начать играть на деньги в лучшие игровые автоматы, а на зеркалах онлайн казино Пин Ап можно найти аналогичную витрину слотов

  21. Pin Up https://pin-up.fotoevolution.ru казино, которое радует гемблеров в России на протяжении нескольких лет. Узнайте, что оно подготовило посетителям. Описание, бонусы, отзывы о легендарном проекте. Регистрация и вход.

  22. Latest Diablo news https://diablo.com.az game descriptions and guides. Diablo.az is the largest Diablo portal in the Azerbaijani language.

  23. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  24. Azerbaijan NFL https://nfl.com.az News, analysis and topics about the latest experience, victories and records. A portal where the most beautiful NFL games in the world are generally studied.

  25. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  26. The latest analysis, tournament reviews and the most interesting features of the Spider-Man game https://spider-man.com.az series in Azerbaijani.

  27. Sergio Ramos Garcia https://sergio-ramos.com.az Spanish footballer, defender. Former Spanish national team player. He played for 16 seasons as a central defender for Real Madrid, where he captained for six seasons.

  28. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  29. Explore the extraordinary journey of Kilian Mbappe https://kilian-mbappe.com.az, from his humble beginnings to global stardom. Delve into his early years, meteoric rise through the ranks, and impact on and off the football field.

  30. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  31. Paulo Bruno Ezequiel Dybala https://dybala.com.az Argentine footballer, striker for the Italian club Roma and the Argentina national team. World champion 2022.

  32. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  33. Mohamed Salah Hamed Mehrez Ghali https://mohamed-salah.liverpool-fr.com Footballeur egyptien, attaquant du club anglais de Liverpool et l’equipe nationale egyptienne. Considere comme l’un des meilleurs joueurs du monde.

  34. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  35. Kevin De Bruyne https://liverpool.kevin-de-bruyne-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  36. Paul Pogba https://psg.paul-pogba-fr.com is a world-famous football player who plays as a central midfielder. The player’s career had its share of ups and downs, but he was always distinguished by his perseverance and desire to win.

  37. Kylian Mbappe https://psg.kylian-mbappe-fr.com Footballeur, attaquant francais. L’attaquant de l’equipe de France Kylian Mbappe a longtemps refuse de signer un nouveau contrat avec le PSG, l’accord etant en vigueur jusqu’a l’ete 2022.

  38. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  39. Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen

  40. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  41. Khvicha Kvaratskhelia https://khvicha-kvaratskhelia.real-madrid-ar.com midfielder of the Georgian national football team and the Italian club “Napoli”. Became champion of Italy and best player in Serie A in the 2022/23 season. Kvaratskhelia is a graduate of Dynamo Tbilisi and played for the Rustavi team.

  42. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  43. Welcome to our official site! Get to know the history, players and latest news of Inter Miami Football Club https://inter-miami.com.az. Discover with us the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  44. Latest news and information about Marcelo https://marcelo.com.az on this site! Find Marcelo’s biography, career, playing stats and more. Find out the latest information about football master Marcelo with us!

  45. Conor Anthony McGregor https://conor-mcgregor.com.az Irish mixed martial arts fighter who also performed in professional boxing. He performs under the auspices of the UFC in the lightweight weight category. Former UFC lightweight and featherweight champion.

  46. Видеопродакшн студия https://humanvideo.ru полного цикла. Современное оборудование продакшн-компании позволяет снимать видеоролики, фильмы и клипы высокого качества. Создание эффективных видеороликов для рекламы, мероприятий, видеоролики для бизнеса.

  47. Заказать вывоз мусора https://musorovozzz.ru в Москве и Московской области, недорого и в любое время суток в мешках или контейнерами 8 м?, 20 м?, 27 м?, 38 м?, собственный автопарк. Заключаем договора на вывоз мусора.

  48. Совсем недавно открылся новый интернет портал BlackSprut (Блекспрут) https://bs2cite.cc в даркнете, который предлагает купить нелегальные товары и заказать запрещенные услуги. Самая крупнейшая площадка СНГ. Любимые шопы и отзывчивая поддержка.

  49. Diego Armando Maradona https://diego-maradona.com.az Argentine footballer who played as an attacking midfielder and striker. He played for the clubs Argentinos Juniors, Boca Juniors, Barcelona, ??Napoli, and Sevilla.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *