MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKAGUA MRADI WA TANKI LA MAJI NA SEHEMU YA KUSAMBAZIA MAJI

Baadhi ya mitambo za kusukumia maji iliyopo kwenye mradi wa Makongo Juu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na viongozi wa Dini wakiwasili kwenye mradi wa maji wakiongozwa na  Meneja wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Valentina Njau walipofika kutembelea mradi wa tanki la maji na sehemu ya kuzsambazia maji katika mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na viongozi wa Dini wakimsikiliza maelezo ya mtaalamu walipotembelea mradi wa tanki la maji na sehemu ya kuzsambazia maji katika mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya Mkoa huo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto

Tarehe 4 hadi 5 Aprili 2024, umefanyika Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *