WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,
wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro
Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati, wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya Songoro Marine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa uwezo wa nchi kuzalisha umeme umefikia megawati 3,169.20. Kati ya kiwango hicho, megawati 3,091.7 zimeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa, ikiwa ni sawa na asilimia 97.55 ya umeme wote unaozalishwa nchini

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TANESCO, mafanikio haya yanatokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *