WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ihakikishe mbolea iliyotolewa bure kwa wakulima wadogo inawafikia na kuwanufaisha wahusika kama lengo la kampuni ya YARA lilivyokusudia.

Akizungumza wakati alipozindua rasmi mpango wa ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima katika Ofisi za Kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es salaam (Jumapili, Oktoba 11, 2020) Mheshimiwa Majaliwa ameishukuru kampuni hiyo kwa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwasaidia wakulima wadogo nchini.

Ad

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Wizara ya Kilimo inapaswa ihakikishe mbolea hiyo inawafikia walengwa ambao ni wakulima wadogo na atakayebainika kujinufaisha kinyume na utaratibu wa ugawaji mbolea hiyo atakuchukuliwa hatua.

Mkuu, Kassim Majaliwa akinyanyua bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa programu ya ugawaji wa mbolea kwa wakulima katika ofisi za Kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam, Oktoba 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

“Nawasihi Wizara ya Kilimo msimamie ugawaji wa mbolea hii na nisingependa kusikia kuwa baadhi ya watu wasiowaaminifu wanajinufaisha kwa kuwauzia wakulima mbolea hii. Serikali ya Tanzania imejizatiti katika kukuza na kuboresha kilimo nchini kwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya watanzania ni wakulima.”

Mheshimiwa Majaliwa amesema idadi kubwa ya wakulima wanaokadiriwa kuwa asilimia 75 ni wale wenye uwezo wa kulima hekari moja hadi tano na sababu kubwa ikiwa ni uwezo mdogo wa kumudu gharama hasa pembejeo na viuatilifu.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kumshukuru Balozi wa Norway nchini, Balozi Elisabeth Jacobmsen kwani Kampuni Mama ya YARA makao yake makuu yako nchini Norway na kwa vyovyote vile Balozi huyo kachangia kuhakikisha programu hiyo ya ugawaji wa mbolea inafanikiwa.

Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga (wa pili kushoto) wakizungumza na Balozi wa Norway nchini, Elisabeth Jacobsen (wa pili kulia) baada ya Waziri mkuu kuzindua rasmi programu ya ugawaji wa mbolea kwa wakulima katika ofisi za Kampuni ya YARA Tanzania jijini Dar es Salaam, Oktoba 11, 2020. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YARA Tanzania, Winstone Odhiambo na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga amesema lengo kuu ya programu ya ugawaji mbolea bure kwa wakulima  ni kuongeza tija kwa uzalishaji wa mazao ya chakula hasa mahindi na mpunga.

Amesema mbolea hiyo imefanyiwa utafiti na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini pamoja na Shirika la Viwango Tanzania  (TBS) na kuthibitishwa kuwa inafaa kwa matumizi katika mazao ya mahindi na mpunga nchini na inatarajiwa kuongeza uzalishaji wa mazao hayo.

Mheshimiwa Hasunga amesema wakulima wadogo wanaolima hekari moja hadi mbili wapatao 83,000 wanatarajiwa kunufaika na programu hiyo katika mikoa 25 ya Tanzania Bara ukiondoa mkoa wa Dar es Salaam ambao umeondolewa kwa sababu hauna idadi kubwa ya wakulima.

Naye Balozi wa Norway nchini, Balozi Elisabeth amesema ni jambo muhimu kuwasaidia wakulima wadogo hasa katika kipindi hiki tunapoelekea msimu wa kupanda mazao kwani wakulima wanahitaji kupata mbolea kwa wakati.

Awali, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya YARA Tanzania, Bw. Winstone Odhiambo katika hotuba yake amesema mbolea itakayogawiwa ni aina NPK tani 12,500 yenye thamani ya shilingi bilioni 16.5.

Amesema utaratibu unaotumika kuwapata wanufaika wa mbolea hiyo ni kwa wakulima kujisajili  kwa kupiga *149*46*16# na amewaomba  wakulima waendelee kujisajili kwa wingi.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mradi wa Magari ya Mwendo Kasi, Kuboresha Usafiri, Uchumi, na Mazingira Tanzania

Mradi wa magari ya mwendo kasi nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi za kijamii, kiuchumi, …

122 Maoni

  1. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  2. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  3. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  4. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  5. Toni Kroos https://real-madrid.tonikroos-ar.com the German midfielder known for his accurate passes and calmness on the field, has achieved remarkable success at one of the most prestigious football clubs in the world.

  6. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  7. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  8. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  9. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  10. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  11. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  12. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  13. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  14. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  15. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  16. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  17. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  18. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  19. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  20. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  21. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *