Maktaba ya Mwaka: 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Soma zaidi »

SERIKALI ITAKAMILISHA UJENZI WA BARABARA KILOMETA 2,500 ZA LAMI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kufungua …

Soma zaidi »

WABUNGE WAMPONGEZA KASSIM MAJALIWA KUPITISHWA JINA LAKE KUCHAGULIWA KUWA WAZIRI MUU

Aliyekuwa Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackoson, ameshinda tena nafasi hiyo kwa kupata kura 350 kati ya Kura 354 zilizopigwa. Naibu Spika wa bunge la 12 Dk.Tulia Ackson kupitia CCM akiwashukuru wabunge waliomchagua kwa kishindo wakati wa Bunge la 12 Jijini Dodoma leo …

Soma zaidi »

DC CHONGOLO AFANYA ZIARA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI BOKO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo ametembelea shule ya msingi Boko kwa lengo la kukagua changamoto zilizojitokeza katika miundombinu ya shule hiyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na uongozi wa shule katika ziara hiyo Chongolo ameeleza kuwa eneo hilo limekuwa na changamoto ya kujaa maji nyakati za mvua …

Soma zaidi »

ALLAN KIJAZI AKABIDHI MAGARI 9 YA MRADI WA KUSIMAMIA MALIASILI NA KUKUZA UTALII KUSINI MWA TANZANIA

Kamishna wa Uhifadhi TANAPA na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi jijini Dodoma amekabidhi magari 9 ya Mradi wa Kusimamia Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Hifadhi za Mikumi, Ruaha na Udzungwa. Dkt.Kijazi amesema kuwa magari haya yatatumika …

Soma zaidi »

SERIKALI KUSHUGHULIKIA SANAA, BURUDANI PAMOJA NA MICHEZO – RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati akizindua rasmi Baraza hilo la 10. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane itawekeza …

Soma zaidi »

MKUTANO WA USHIRIKIANO WA UCHUMI NA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA CHINA UMEFANYIKA JIJINI JINHUA

Mkutano wa Ushirikiano wa Uchumi na Biashara kati ya Afrika na China umefanyika jijini Jinhua katika Jimbo la Zhejiang na kuhudhuriwa na Wanadiplomasia wa Nchi za Afrika, viongozi wa Serikali ya Jimbo la Zhejiang na Mji wa Jinhua pamoja na wafanyabiashara wa China na Afrika. Katika mkutano huo Naibu Katibu …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli …

Soma zaidi »