Maktaba ya Mwaka: 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi waliowasilisha hati zao za utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Mhe. David William Cancar (aliyeteuliwa kuwa Balozi wa …

Soma zaidi »

RAIS AMEWAAMINI WAZALENDO KUTEKELEZA JNHPP – NAIBU KATIBU MKUU MASANJA

Veronica Simba – Rufiji Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, amempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kuwaamini wazalendo katika kusimamia utekelezwaji wa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Alitoa pongezi hizo Oktoba 3, 2020 wakati akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamoja …

Soma zaidi »

SERIKALI YAHIMIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI KITUO CHA KUPOZA UMEME NYAKANAZI

Kazi ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme Nyakanazi ikiendelea. Taswira hii ilinaswa wakati wa ziara ya Timu ya Serikali inayosimamia Mradi wa Umeme wa Rusumo, kukagua maendeleo ya utekelezaji wake, Septemba 30, 2020. Kituo hicho kinatarajiwa kukamilika Februari, 2021. Serikali imehimiza kukamilishwa kwa wakati, ujenzi wa kituo cha kupoza …

Soma zaidi »

TARURA YATEKELEZA MIRADI YA AHADI ZA RAIS WILAYANI MULEBA

Na. Erick Mwanakulya, Kagera. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutetekeleza miradi ya Ahadi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kukamilisha ujenzi wa Barabara zenye urefu wa Km 2.76 kwa kiwango cha lami katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera. Akizungumza wakati wa ukaguzi …

Soma zaidi »

MRADI WA UMEME RUSUMO UNA MANUFAA MTAMBUKA KWA WATANZANIA – SERIKALI

Veronica Simba – Ngara Serikali imeeleza kuwa Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera, unaotekelezwa Rusumo wilayani Ngara, una manufaa mtambuka kwa Watanzania. Hayo yalielezwa jana, Septemba 28, 2020 na Timu ya Serikali kutoka Tanzania inayosimamia Mradi huo ikihusisha Wakurugenzi wa Bodi na Kamati ya …

Soma zaidi »