Na. Sajini Mbwana Khalfan Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yacoub Mohamed amefanya ziara ya kikazi na kutembelea mradi mkubwa wa kimkakati wa kilimo cha Mpunga katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa Chita, Wilayani Kilombero mkoani Morogoro tarehe 12 Februari 2021. Mradi …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: February 2021
DKT. YONAZI: TPC CHANGAMKIENI KILA FURSA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuchangamkia kila fursa inayotokea katika biashara na kuongeza ubunifu wa biashara hizo. Ameyasema hayo leo Februari 14, 2021 katika kikao cha Menejimenti ya Shirika la Posta wakati alipokuwa akitoa semina ya mafunzo …
Soma zaidi »NDUGULILE: TPC ANGALIENI UPYA MUUNDO NA SERA YA POSTA
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (katikati) akizungumza katika kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wake Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA MAJENGO CHUO CHA DIPLOMASI
Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameonesha kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa majengo ya mihadhara katika chuo cha Diplomasia na kumuagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuzingatia thamani ya fedha, muda wa mkataba na ubora. Balozi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AKAGUWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI MKOA DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akitoa maagizo kuhusu kuchukuliwa hatua kwa mtu anaetiririsha Maji ya Choo katika Mradi wa Kingo za Mto Ng’ombe Wilaya ya Kinondoni alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji na Mazingira Mkoa wa …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIAGIZA SIDO KUONGEZA JUHUDI NA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA HUDUMA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeliagiza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kuongeza juhudi na ubunifu katika utoaji wa huduma zinazotumia teknolojia ya kisasa ili kukuza viwanda vidogo na kuongeza ajira nchini. Hayo, yalisemwa na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO (MOROGORO CENTRAL MARKET)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare wakati akivuta utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro (Morogoro Central Market) leo tarehe 11 Februari 2021 mkoani Morogoro. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA SHILINGI BILIONI 8 KWA AJILI YA MIGEBUKA
Tanzania imechaguliwa kunufaika na mradi wa Euro milioni 3 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8 kwa ajili ya kuongeza mnyororo wa thamani wa samaki aina ya migebuka na dagaa kutoka ziwa Tanganyika. Mradi huo utatekelezwa Mkoani Kigoma kwa kipindi cha miaka mitano na kusimamiwa na Taasisi ya Utafiti wa …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE AWATAKA MABALOZI KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya …
Soma zaidi »