Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile(Mb) huku ikiwa imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe ikiendelea na ziara yake katika Maeneo Maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje (EPZA) Ubungo, Dar es salaam. …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2021
NAIBU WAZIRI WAITARA AWAAGIZA WENYE VIWANDA WOTE NCHINI KUAJIRI WATAALAMU WA MAZINGIRA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara akiangalia mfereji wa majitaka yanayotiririka kutoka kiwanda cha Keds Tanzania Company Ltd kilichopo mjini Kibaha mkoani Pwani wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za mazingira. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimwagilia Maji Mti aina ya Paukaria alioupanda katika eneo la Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021 baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda hicho. Makamu wa Rais ameanza ziara …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA ATOA WIKI MBILI CHANGAMOTO MRADI WA MKULAZI KUTATULIWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama ameiagiza kamati elekezi ya Kusimamia Mradi wa Mkulazi Estate, kuhakikisha ndani ya wiki mbili ujenzi wa barabara na uwekaji umeme kwenye eneo la mradi huo, ili kuruhusu shughuli za utekelezaji wa mradi …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AMALIZA MGOGORO SUGU WA ARDHI WAZO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amehitimisha mgogoro wa muda mrefu baina ya wananchi wa eneo la Chasimba, Chatembo na Chachui katika kata ya Bunju na Wazo Manispaa ya Kinondoni na Kiwanda cha Saruji cha Tanzania Portland (Wazo Hill) ambapo kiwanda hicho kimekubali kuachia hekta 224.8 …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA MOMBASA KENYA, IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wa Wafanyabiashara kutoka Kenya, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti …
Soma zaidi »WAZIRI NDAKI ANUSA UBADHILIFU MNADA WA PUGU, AUONYA UONGOZI NA KUMUONDOA ASKARI KAZINI
Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amemtaka Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Wizi wa Mifugo (STPU) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kumuondoa kazini katika mnada wa Pugu, mkuu wa zamu na wenzake kwa tuhuma za kutoa taarifa zisizo sahihi za idadi ya mifugo …
Soma zaidi »WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanali Simon Anange pamoja na Katibu tawala wa wilaya ya Kasulu Mhe. Joseph Kashushura, Tarehe 3 Machi, 2021 wamepokea ujumbe kutoka wizara ya Viwanda na Biashara, EPZA, TIC na Bodi ya Sukari ulioambatana na mwakilishi mkazi wa kampuni ya Mahashree Agroprocessing Tz Ltd mwenye …
Soma zaidi »KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WALEMAVU
Pongezi hizo zimetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo alipokuwa akikabidhi hundi ya kiasi cha tsh takribani Bilioni 1.3, kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana robo ya nne, fedha zilizotengwa kwa bajeti ya mwaka 2021. Amesema Kinondoni inaonesha dhamira ya dhati katika kuhakikisha …
Soma zaidi »