Maktaba ya Mwezi: May 2021

TANZANIA KINARA WA UBORA WA SEKTA YA FEDHA KUSINI MWA AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb) (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. FLorens Luoga, wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu masuala ya Fedha na uchumi wakati wa Semina kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, iliyofanyika Zanzibar. Sekta ya Fedha nchini Tanzania inaongoza …

Soma zaidi »

SERIKALI INAHITAJI SHILINGI TRILIONI NANE KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI VYOTE

Na Jaina Msuya – REA Serikali inahitaji zaidi ya Shilingi Trilioni Nane kwa ajili ya kusambaza miundombinu ya umeme katika vitongoji ambavyo havijafikiwa na nishati hiyo. Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo alisema hayo katika Mkutano wa Kwanza wa Mwaka kati ya Wakala wa Nishati Vijijini …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWANA UTENDAJI WA NSSF, AWAHIMIZA KUENDELEZA UFANISI

Mkurugenzi Mkuu NSSF Bw.Masha Mshomba ahutubia na kueleza utekelezaji wa ofisi yake kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la NSSF lililofanyika Mkoani Morogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Utatibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amepongeza kazi inayofanywa na Mfuko …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949

Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMKABIDHI NYUMBA MPYA YA KUISHI RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa …

Soma zaidi »