Maktaba ya Mwezi: May 2021

DAR ES SALAAM SASA WANAJARIBU MAJI, WANAJARIBU KINA CHA MAJI – RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa …

Soma zaidi »

GST – WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WANACHUKUA SAMPULI ZA UCHUNGUZI KIHOLELA

Na. Projestus Binamungu Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Mtwara juu ya namna bora ya uchukuaji wa sampuli za uchunguzi na uchenjuaji wa madini, kama sehemu ya kuwawezesha wachimbaji hao kufanya shughuli zao kisasa na kisayansi …

Soma zaidi »

WAZIRI WA NISHATI APONGEZA WAFANYAKAZI KWA KUCHANGIA UCHUMI WA KATI

Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa kufanya kazi kwa ufanisi ambao umechagiza nchi kuingia katika uchumi wa kati kutokana na uwepo wa nishati inayotabirika. Dkt.Kalemani ametoa pongezi hizo jijini Dodoma, tarehe 5 Mei, 2021 wakati akifungua Mkutano Maalum wa Baraza la …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA MARA BAADA YA KUWASILI NAIROBI NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais …

Soma zaidi »

PROF. MKUMBO AKUTANA NA WASAFIRISHAJI,WAINGIZAJI NA WATOAJI WA MIZIGO BANDARINI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOATHIRI HALI YA BIASHARA NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kililenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wadau hao ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini.  “Serikali haifanyi …

Soma zaidi »