MRADI HUU NI MATOKEO CHANYA YA MIRADI INAYOFANYA NA SERIKALI – RAIS MAGUFULI

Muonekano wa jengo la kituo kipya cha mabasi wa mkoani linaloendelea kujengwa katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam
Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo flyovers)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Mhe. Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera wakifungua pazia la jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi kilichopo Mbezi Luis, Dar es salaam leo Oktoba 8, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na akizunguma na Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na wa miwsho kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Aboubakar Kunenga wakati wa uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi kilichopo Mbezi Luis, Dar es salaam leo Oktoba 8, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wameweka jiwe la msingi la ujenzi wa stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani , eneo la Mbezi mwisho Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Oktoba 2020.

Akizungumza katika hafla hiyo Rais Magufuli amesema kuwa stendi hiyo iwekwe ofisi ya Uhamiaji kwani stendi hiyo ni ya kimataifa na kuongeza kuwa katika kupangwa kwa eneo hilo kuwekwe eneo la mabasi yanayotoka nje ya nchi ili kurahisisha kutoa huduma.

Ad

“Mabasi yanatoka nje ya nchi yawe na sehemu yao ya maengesho, mabasi ya humu yawe na sehemu yao, daladala yawe na sehemu yao, bajaji ziwe na sehemu yao, mama lishe wawe na sehemu zao, hapo pataweza kuleta umaana wa stendi hii na hapo unaweza ukaleta umaana wa fedha za walipa kodi ambao ambao ni watanzania wote” amesema Rais Magufuli

Aidha, Rais Magufuli amesema kuwa amefurshishwa kushuhudia mradi huo kwani mradi huo ni “MATOKEO CHANYA ya miradi inayofanywa na Serikali.

Ad

Unaweza kuangalia pia

TRENI YA MCHONGOKO YAANZA SAFARI KWA KISHINDO DAR – DOM

Treni ya Umeme ya Kisasa (EMU) ya Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania ni sehemu …

59 Maoni

  1. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  2. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  3. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  4. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  5. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  6. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  7. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  8. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *