Msanii wa Kizazi Kipya arudi nyumbani kwao Tandale na kusheherekea kumbukumbu yake ya kuzaliwa pamoja na kawazi wa eneo hilo alikozaliwa na kukulia.

LATE LIVE: MSANII WA KIZAZI KIPYA DIAMOND ARUDI KWAO TANDALE

  • Agawa bure kadi BIMA ya AFYA kwa watu 1,000
  • Baadhi wabahatika kupata zawadi mabalimbali ili kukuza uchumi na mtaji ikiwemo bodaboda, mtaji kwa akina mama na nyinginezo.
  • Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awa Mgeni Rasmi na kutoa amri ya kuongeza muda wa buirudaniu kwa siku za wikiendi. Sasa burudani zitaongezeka mpaka saa 8 usiku kwa siku za wikiendi
  • Ni katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Serikali ya Tanzania na Czech Zakubaliana Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili

Serikali za Tanzania na Czech kukuza ushirikiano wa kiuchumi na kuvutia uwekezaji kati yao. Kuondoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *