- Agawa bure kadi BIMA ya AFYA kwa watu 1,000
- Baadhi wabahatika kupata zawadi mabalimbali ili kukuza uchumi na mtaji ikiwemo bodaboda, mtaji kwa akina mama na nyinginezo.
- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awa Mgeni Rasmi na kutoa amri ya kuongeza muda wa buirudaniu kwa siku za wikiendi. Sasa burudani zitaongezeka mpaka saa 8 usiku kwa siku za wikiendi
- Ni katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Unaweza kuangalia pia
KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95
Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya …