RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA MASUALA YA ELIMU AFRIKA (FEF2018). Matokeo ChanyA+ October 31, 2018 Tanzania MpyA+ Oni 1 897 Imeonekana Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akifanyiwa mahojiano na shirika la habari la CNN mara baada ya kumaliza kushiriki katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa pili kulia, akiwa na wajumbe wengine katika mkutano wa Viongozi wastaafu wa Afrika kujadili Elimu Barani Afrika,uliofanyika Johannesburg Afrika Kusini. Mkutano huo uliandaliwa na kituo cha Viongozi wa Afrika ulikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi kujadili mchango wao kwenye elimu Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest
Congratulation honourable J.K,,I a preciate your movement and Tanzanians expect great from you although your are out of ground!! God bless you!!