Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Dk. Imni Patterson, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini kwa lengo la kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho.Kaimu Balozi huyo amekutana na kufanya mazungumzo na …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 …
Soma zaidi »WAKULIMA IRINGA NA MBEYA KUNUFAIKA NA MRADI WA BARABARA ZA LAMI
Na. Geofrey A. Kazaula Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA unaendelea na mpango wake wa kujenga barabara za lami kupitia mradi wa Agri-Conect ili kuhakikisha wakulima wanaweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi kutoka mashambani hadi viwandani na sokoni. Mradi huo wa Agri–Conect unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na …
Soma zaidi »TANAPA YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA MABANGO YA TAHADHARI BARABARANI ILI KUPUNGUZA IDADI YA WANYAMAPORI WANAOGONGWA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha kwa pamoja Wadau wa Uhifadhi kujadili jinsi ya kulinda shoroba ya Kwakuchinja pamoja na maeneo mengine muhimu ya Wanyamapori katika ikolojia ya Tarangire na Manyara katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kushoto ni Mkuu wa …
Soma zaidi »WAZIRI PROF. KABUDI ATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA KWA NIABA YA RAIS MAGUFULI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akitoa salamu za shukrani kwa Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,Dayosisi ya Dar Es Salaam kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni kilele cha siku tatu …
Soma zaidi »SERIKALI YAWATAKA MAAFISA MADINI KUTHIBITISHA USHURU MIGODINI
Waziri wa Madini Doto Biteko akikagua shughuli za uchimbaji madini katika eneo la Lusu, wilayani Nzenga Mkoa wa Tabora. Serikali imesema Ushuru wowote unaotolewa kwenye Maeneo ya Migodi Nchini ni lazima uthibitishwe na Maafisa Madini walioko kwenye maeneo husika. Tamko hilo lilitolewa Mei 24, 2020 na Waziri wa Madini Doto Biteko …
Soma zaidi »MKANDARASI WA UJENZI WA STAND MPYA YA MABASI YA MBEZI LUIS ATAKIWA KUKABIDHI MRADI KWA MUDA ULIOPANGWA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amemuelekeza Mkandarasi wa Ujenzi wa Stand mpya ya mabasi ya Mikoani na nje ya nchi ya Mbezi Louis ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia 70%, kuhakikisha Ujenzi huo unakamilika na kukabidhiwa kwa wakati.RC Makonda amesema ujenzi wa Stand hiyo unagharimu …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI
Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri …
Soma zaidi »UJENZI WA JENGO LA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI
Jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jengo hili la ghorofa 3 litakuwa na Mahakama ya Mwanzo, Wilaya na Mkoa, ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama, Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka. Muonekano wa jengo linalojengwa …
Soma zaidi »UJENZI WA MV MWANZA UNATARAJIWA KUKAMILIKA MAPEMA 2021
Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ikiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Fundi akiwa kazini Ujenzi wa MV Mwanza, Mkoani Mwanza ukiendelea kwa kasi. Kazi hiyo ya ujenzi inatarajiwa kukamilika mapema 2021 Mafundi wakiendelea na Kazi ya Ujenzi wa MV Mwanza, Kazi hiyo …
Soma zaidi »