Matokeo ChanyA+
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA Bi.SIFAELI KUNDASHUMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya tano imekusudia maendeleo na panapo hitajika maendeleo lazima ukweli usemwe. Akihutubia wakazi wa kijiji cha Matabi wilayani Siha Makamu wa Rais alisema “Wakazi wa Siha hamna budi kubadilika mchague watu wenye itikadi …
Soma zaidi »LIVE; MKUTANO WA KUMI NA TATU WA BUNGE KIKAO CHA SITA – MASWALI NA MAJIBU
Serikali Imejipanga Kila Eneo – Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema hakuna Maendeleo pasipo Utawala bora. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro. “Viongozi wa Halmashauri, Viongozi wa Wilaya wasipokuwa na Utawala bora, wasiposhirikiana, Chama, Serikali, Wilaya, …
Soma zaidi »WATALAAM KUTOKA MUHIMBILI WAWASILI LINDI KUTOA HUDUMA ZA AFYA
Madaktari Bingwa 11 pamoja na wataalam wengine wa afya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) wamewasili katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Lindi Sokoine kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali za afya kwa wananchi wa mkoa huo sanjari na kuwajengea uwezo wataalam wa hospitali hiyo. Daktari Bingwa wa magonjwa ya kike …
Soma zaidi »HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI WAANZA ZOEZI LA KUPANDIKIZA VIFAA VYA USIKIVU KWA WATOTO
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),leo Novemba 12, 2018 wameanza zoezi upasuaji wa kupandikiza vifaa vya usikivu kwa watoto 10 ambao wana matatizo ya kusikia baada ya kukamilika kwa maandalizi, mwisho zoezi hilo linafanyika hadi hadi November 16, 2018. Watoto hao watapandikizwa vifaa vya usikivu baada ya wataalam kuwafanyia uchunguzi wa …
Soma zaidi »WATUNGA SERA, WAWEKEZAJI NA WABUNIFU KATIKA SEKTA YA AFYA KUJADILI FURSA ZILIZOPO KUELEKEA TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA
LIVE IKULU: HAFLA YA KUAPISHWA MAWAZIRI WATEULE
#SisiNiTanzaniaMpyA+
Soma zaidi »