Na. Erick Mwanakulya. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Dkt. Festo S. Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuongeza kasi ya uboreshaji miundombinu ya barabara na madaraja na kushughulikia kwa wakati athari zinazotokea za uharibifu wa miundombinu …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021
Na. Majid AbdulkarimJumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021.Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati …
Soma zaidi »SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO – NAIBU WAZIRI SILINDE
Na Angela Msimbira SUMBAWANGANaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakatiNaibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua …
Soma zaidi »WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WAFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA JULIUS NYERERE (JNHPP)
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Stephen Byabato wamefanya ziara kwenye ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa mradi ambao utazalisha umeme wa megawati 2115.Ziara hiyo iliyofanyika, tarehe 14 Desemba, 2020 iliwahusisha …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AAGIZA WATUMISHI 22 TRA WASIMAMISHWE KAZI
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha na …
Soma zaidi »RC KUNENGE AWATAKA MANISPAA KINONDONI NA JKT KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA DALADALA MWENGE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha Ujenzi wa kituo Cha daladala Mwenge na Maduka 126 vinakamilika kabla ya February 28 na kuanza kutumika Machi 01 ili kiweze kutoa huduma kwa wananchi Kama ilivyokusudiwa. RC Kunenge ametoa agizo …
Soma zaidi »MGOGORO WA WACHIMBAJI WADOGO IGAE KONGWA WATATULIWA NA NAIBU WAZIRI WA MADINI
Naibu Waziri wa Madini Prof. Shukrani Manya, wa pili, akitoka kukagua eneo la Mgodi wa Mlima Igae Suguta unaomilikiwa na kikundi cha Wachimbaji Wadogo wa Hapa Kazi Tu, wilayani Kongwa Mgogoro wa kugombania shimo la Madini eneo la Mlima Igae katika Kijiji cha Suguta Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma lenye …
Soma zaidi »DKT CHAULA ARATIBU MKAKATI WA KUIPELEKA JAMII YA TANZANIA KIDIJITALI
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao cha kamati ya kujadili na kupitisha mpango mkakati wa kuipeleka jamii ya Tanzania katika mfumo wa kidijitali, katika ukumbi wa Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …
Soma zaidi »WANYONGE NI LAZIMA WALINDWE NA SHERIA – DKT MWIGULU
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kahama akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga tarehe 15 Disemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI, RAIS WA ZANZIBAR DKT HUSSEIN MWINYI ALA KIAPO KUWA MJUMBE WA BARAZA HILO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020 …
Soma zaidi »