Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye pia Rais wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pasific (OACPS) jana tarehe 14 Disemba, 2020 amefungua na kuongoza Mkutano wa Jumuiya hiyo ambao uanatarajiwa kufanyika kwa kipindi cha …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
WAWEKEZAJI KUTOKA UTURUKI WAWASILI TANZANIA KUWEKEZA
Wawekezaji kutoka nchini Uturuki wamewasili nchini Tanzania kwa ajili ya kujionea fursa za uwekezaji na biashara zilizopo nchini ili waweze kuwekeza na kukuza Diplomasia ya Uchumi baina ya mataifa hayo. Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Prof. Elizabeth Kiondo amethibisha kuwasili kwa wawekezaji hao wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MV KILINDONI IKIWEKWA MAJINI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha inatekelezwa kwa viwango na kuwanufaisha watumiaji. Waziri Mkuu amesema hayo (Jumanne, Desemba 15, 2020) wakati aliposhuhudia uingizwaji majini wa Kivuko cha MV Kilindoni ‘Hapa kazi Tu’ kitakachofanya safari zake kati ya …
Soma zaidi »RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya …
Soma zaidi »NEMC YAONYWA KUTOKUWA KIKWAZO KATIKA UTOAJI WA VIBALI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini kutokuwa kikwazo katika utoaji wa vibali vya mazingira kwa wawekezaji katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Amesema hayo hii leo alipokuwa akizungumza na Menejimenti na wafanyakazi …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI ELIAS KUANDIKWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kuandikwa kwa uteuzi alioupata na kuahidi kuendelea kushirikiana nae. Rais Dk. Hussein Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi …
Soma zaidi »SILINDE: VIONGOZI WA MIKOA WEKENI MIKAKATI ENDELEVU UJENZI WA MADARASA
Na Angela Msimbira, Sumbawanga Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe David Silinde amewaagiza Viongozi wa Mikoa yote nchini kuhakikisha zoezi la ujenzi wa madarasa linakuwa endelevu na kuwekewa mikakati maalum ili kupunguza uhaba wa madarasa nchini. Ametoa agizo hilo leo wakati akikagua miradi …
Soma zaidi »WAZIRI BITEKO AFUTA LESENI SITA ZA WAFANYABIASHARA WA MADINI CHUNYA
Na, Tito Mselem, Chunya Waziri wa Madini Doto Biteko, amefuta leseni Sita za wafanyabiashara wa madini ya dhahabu ambao wanatuhumiwa kujishughulisha na utorashaji wa madini wilayani Chunya. Watuhumiwa hao, wametakiwa kutojishughulisha na shughuli yoyote ya Madini nchini. Wakati huo huo, Waziri Biteko, ameagiza kuondolewa kwa Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Madini …
Soma zaidi »WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DKT.NDUMBARO AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wakazi wa Mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa za utalii zilizopo katika mkoa huo. Ameyasema hayo wakati alipotembelela Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songomnara ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa na Rais wa …
Soma zaidi »RADIO KIJAMII ZAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI
Na Immaculate Makilika- MAELEZO Redio za kijamii zimeaswa kufanya kazi kwa ufanisi sambamba na kuzingatia maadili ya utangazaji hasa katika kipindi hiki cha kidigitali. Akizungumza hivi karibuni jijini Dodoma, Afisa Habari kutoka Idara ya Habari- MAELEZO, Jonas Kamaleki wakati akifungua mafunzo maalumu yanayohusu masoko kwa kutumia mifumo ya kidigitali yalioandaliwa …
Soma zaidi »