Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli itajikita zaidi katika kuboresha uwekezaji wa ndani na nje ya nchi na kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi katika kujenga uchumi wa nchi. Waziri wa Mambo ya …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
SHIDA YA MAJI KIBINDU KUWA HISTORIA – MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE
Mbunge wa Chalinze Ndg. Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Kibindu kuwa shida ya maji itabaki kuwa historia, akiongea mbele ya wananchi wa Kijiji cha Kwamduma, kata ya Kibindu Mh.Mbunge alimshukuru Mheshimiwa Rais na Serikali kwa hatua zinazochukuliwa kupata ufumbuzi wa shida ya maji katika kata hiyo. Maneno hayo …
Soma zaidi »MAONESHO YA TANO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 3 – 9 DISEMBA 2020
Dar es Salaam Wizara ya Viwanda,na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inawakaribisha Watanzania wote kutembelea Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yatakayoanza tarehe 3 hadi 9 Desemba, 2020. Uanzishwaji wa Maonesho haya yalilenga kuhakikisha Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda unakuwa …
Soma zaidi »SEKTA YA VIWANDA NI MUHIMILI KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI
NA Beatrice Sanga- MAELEZO Sekta ya Viwanda ni moja ya sekta zinazochangia pato la Taifa na kutoa ajira kwa wafanyakazi wengi hususan vijana wanaofanya kazi katika viwanda vidogo na vya kati. Sekta hii ina wajibu wa kukuza viwanda ikiwa ni pamoja na kuongeza ujuzi kwa vijana hawa na kuleta mabadiriko ya kiuchumi …
Soma zaidi »RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …
Soma zaidi »RC KUNENGE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI DAR DISEMBA 10
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge anatarajia kukutana na Wafanyabiashara na Wawekezaji Jijini humo mnamo Disemba 10 Mwaka huu kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere posta. RC Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuweka mazingira Bora ya Uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze …
Soma zaidi »SERIKALI YA ZANZIBAR IMELENGA KUENDESHA NA KUKUZA UCHUMI WA BULUU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka taratibu na sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.Rais Dk Hussein Mwinyi ameyasema hayo leo Ikuku Jijini Zanzibar wakati alipofanya mazungumzo …
Soma zaidi »HESLB YATOA AWAMU YA TATU YA MIKOPO YA TZS BILIONI 11.04 KWA WANAFUNZI WAPYA 3,544
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya Awamu ya tatu yenye jumla ya wanafunzi wapya 3,544 waliopangiwa mikopo kwa mara ya kwanza katika mwaka wa masomo 2020/2021 yenye thamani ya TZS 11.04 bilioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Jumanne Desemba Mosi, 2020 …
Soma zaidi »TARURA INAVYOTATUA KERO ZA WANANCHI MANISPAA YA LINDI
Na. Bebi Kapenya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeendelea kusimamia na kufanya ukarabati wa miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani Lindi. Meneja wa TARURA Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Mhandisi Lusekelo Mwakyami alisema kuwa wameshakamilisha ujenzi wa barabara kwa …
Soma zaidi »CHINA NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KIMKAKATI
China imesema itafanya kazi kwa ukaribu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 ili kuiwezesha Tanzania kupiga kwa haraka hatua za kimaendeleo kwa faida ya pande zote mbili. Hayo yamo katika barua ya pongezi iliyotumwa na Waziri wa Mambo ya Nje …
Soma zaidi »