RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU, ZANZIBAR Matokeo ChanyA+ December 2, 2020 ZANZIBAR Acha maoni 709 Imeonekana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest