Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango(kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), nchini Dkt. Alex Mubiru (kushoto), alipokuwa akimuaga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi katika Ofisi ya Rais wa Benki hiyo makao makuu Jijini …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UTATU WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi wakati wa Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi …
Soma zaidi »WAWEKEZAJI WAZAWA WAJITOSA KATIKA UCHUMI WA BLUU
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Abdallah Hussein Kombo amesema endapo Zanzibar itajikita zaidi kwenye uchumi wa buluu kupitia shughuli za uvuvi visiwani hapa utasaidia kukuza ajira na kukuza uchumi wa Zanzibar. Jana Waziri huyo alitekeleza miongoni mwa maagizo aliyoyatoa Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu kukutana na …
Soma zaidi »BANDARI YA TANGA IMEANDIKA HISTORIA BAADA YA MELI KUBWA YA MV STAR EOS YENYE UREFU WA MITA 200 KUTIA NANGA
Kwa mara ya kwanza bandari ya Tanga imeandika historia baada ya meli kubwa ya Mv Star Eos yenye urefu wa mita 200 kutia nanga karibu kabisa na gati la bandari ya Tanga baada ya bandari hiyo kufanyiwa maboresho ikiwemo kuongezwa kina cha maji. Meli hiyo iliyobeba shehena ya “Clinker” Tani …
Soma zaidi »MIRADI YA MAJI CHALINZE INATARAJIWA KUKAMILIKA MWAKA 2021
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete akizungumza na Meneja DAWASA – Chalinze, Bw. Onest Makoi Meneja wa Dawasa wa Chalinze mkoani Pwani amesema kuwa miradi maji inayoendelea katika jimbo la Chalinze inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwaka 2021. Amezungumza hayo wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la …
Soma zaidi »MAWAZIRI SADC – TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA
Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama. Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba …
Soma zaidi »MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI IFIKAPO JULAI 2021
Na. Bebi Kapenya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuagiza Mkandarasi Kampuni ya China Heinan International Cooperation Co. Ltd (CHICO) anayetekeleza Mradi wa ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Lami zenye urefu wa Km 51.2 katika Mji wa Serikali Mtumba kukamilisha …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA
Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …
Soma zaidi »MA – DC MKOANI RUKWA KUSIMAMIA TATHMINI YA MWAKA WA MTOTO JANUARI 2021
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiwaonesha Mkakati wa miaka mitano wa Kupambana na Mimba za Utotoni katika Mkoa kwa wadau waliohudhuria kwenye uzinduzi wa mradi wa kuzuia ndoa na mimba za utotoni kabla ya kuzindua mradi huo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa. …
Soma zaidi »MAKATIBU WAKUU SADC -TROIKA WAJADILI HALI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA
Na Mwandishi wetu, Gaborone Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana. Awali, Mkutano wa Makatibu Wakuu ulifunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Botswana, Bw. …
Soma zaidi »