Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

NCHI 15 ZARUHUSIWA KULETA WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU 2020

Balozi wa Umoja wa Ulaya Balozi Manfred Fanti akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi walipokutana kwa mazungumzo leo jijini Dar es Salaam Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi …

Soma zaidi »

SERIKALI YAFUNGA MASHINE YA KISASA UCHUNGUZI SARATANI YA MATITI ORCI

Serikali imesimika mashine kisasa ya mammography ambayo ni maalum kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa saratani ya matiti, katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI).Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa ORCI, Dk. Crispin Kahesa amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari mapema hii leo na kusisitiza kwamba mashine hiyo ipo …

Soma zaidi »

BALOZI MBELWA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA TEKNOLOJIA YA KUZALISHA UMEME WA JUA NCHINI CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen ambapo amesema kuwa ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 …

Soma zaidi »

UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUZALISHA AJIRA 10,000

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja …

Soma zaidi »

RC WANGABO AINGILIA KATI UJENZI WA STENDI KUU YA MABASI SUMBAWANGA BAADA YA KUONA UNASUASUA

Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo (katikati) alipotembelea Stendi kuu ya Mabasi Sumbawanga ili kujionea maendeleo ya ujenzi wa stendi,Kulia ni mkurugenzi wa Sumry Enterprises Ltd Humud Sumry pamoja na Meneja TARURA Manispaa ya Sumbawanga Mhandisi Suleiman Mziray Baada ya kuona ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Sumbawanga …

Soma zaidi »

HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MARA (KWANGWA) IMEANZA KUTOA HUDUMA YA MAGONJWA YA NJE (OPD) NA KITENGO CHA MAMA NA MTOTO

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1977 imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na mtoto. Hii inafuatia baada ya Waziri Ummy Mwalimu kufanya ziara katikati ya mwezi huu na kuitaka Hospitali hiyo …

Soma zaidi »