HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MARA (KWANGWA) IMEANZA KUTOA HUDUMA YA MAGONJWA YA NJE (OPD) NA KITENGO CHA MAMA NA MTOTO

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara (Kwangwa) iliyoasisiwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1977 imeanza kutoa huduma ya magonjwa ya nje (OPD) na kitengo cha Mama na mtoto. Hii inafuatia baada ya Waziri Ummy Mwalimu kufanya ziara katikati ya mwezi huu na kuitaka Hospitali hiyo kuanza kutoa huduma kabla mwezi Agosti haujaisha.

Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *