Serikali na Kampuni ya Arab Constructors ya Misri leo zitatia saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Stiegler’s Gorge, utakaozalisha megawatts 2100. Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mradi huo utagharimu zaidi ya TZS 6.5tril. Waziri Mkuu wa Misri atahudhuria hafla hiyo. Fuatilia kwa kubofya link hii; …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AGAWA VITAMBULISHO 670,000 KWA WAKUU WA MIKOA KWA AJILI YA MATUMIZI YA WAJASIRIAMALI (MACHINGA) KATIKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA
RAIS DKT.MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA MISRI NA ETHIOPIA WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA MASUALA YA KIMATAIFA WA CANADA
LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »LATE LIVE; RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA IKULU
RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU MZEE MWINYI
RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA RAIS KENYATTA WAFUNGUA KITUO CHA KUTOA HUDUMA KWA PAMOJA MPAKANI NAMANGA
Kituo hicho ni miongoni mwa vituo 15 vya OSBP vinavyojengwa katika mipaka ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kurahisisha ufanyaji wa biashara miongoni mwa nchi hizo, kuharakisha huduma za mpakani, kuongeza mapato na kuimarisha usalama. Ujenzi wa kituo cha Namanga OSBP umefadhiliwa na Benki ya …
Soma zaidi »