Taarifa Vyombo vya Habari

BODI YATOA TATHMINI KUHUSU UTEKELEZWAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI MOROGORO

Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Oktoba 25, mwaka huu ilikabidhi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Olesanare, taarifa ya tathmini kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani humo, baada ya ziara yao ya siku mbili. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Styden Rwebangila, …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA FINLAND, UMOJA WA ULAYA NA RWANDA

Rais Dkt. John  Magufuli amepokea hati za utambulisho za Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa nchini Mhe. Manfred Fanti, Balozi wa Finland hapa nchini Mhe. Riitta Swan na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Mej. Jen. Charles Karamba, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mhe. Rais Magufuli baada …

Soma zaidi »

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA KUFANYIWA UCHUNGUZI SARATANI YA MATITI

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania-MEWATA- imefanya zoezi la uchunguzi wa awali wa saratani ya matiti bila malipo kwa lengo la kuongeza uelewa juu ya ugonjwa huo na kuhamasisha jamii umuhimu wa kujichunguza mapema.  Zoezi la uchunguzi limefanyika kwa siku mbili ambapo kina mama …

Soma zaidi »

NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI AZERBAIJAN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha na Taasisi na Wizara husika ili waweze kuwekeza mitaji yao kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Ametoa agizo hilo jana (Alhamisi, Oktoba 24, 2019) baada ya kugundua uwepo wa …

Soma zaidi »