DKT. NDUGULILE AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA LISHE NCHINI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuweke mkazo kwa kutoa elimu ya lishe nchini hasa katika shule za misingi na Sekondari nchini ili kuondokana na tatizo la udumavu na utapiamlo Ameyasema hayo mkoani Iringa alipotembela Shule ya …
Soma zaidi »SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 8.7 KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA
Serikali imepokea gawio na michango ya Sh. bilioni 8.7 kutoka kwa baadhi ya Mashirika, Kampuni na Taasisi za Umma, ikiwa zimebaki siku 15 kati ya siku 60 zilizotolewa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, za kuzitaka Taasisi, Kampuni na Mashirika hayo kutoa gawio kwa Serikali. Gawio hilo limepokelewa na …
Soma zaidi »TUTAENDELEA KUTOA ELIMU BURE KWA WANANCHI KAMA ILIVYO KWA SEKTA YA AFYA – RAIS DKT. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa elimu bure kwa wananchi wake kama ilivyo kwa sekta ya afya na katu haitorudi nyuma. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE ATAKA TAARIFA UTOAJI WA DAWA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amemuagiza Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Atupele Mwandiga kuhakikisha anapata taarifa ya utoaji wa dawa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa. Agizo hilo limekuja mara baada ya ziara ya yake …
Soma zaidi »SIMBACHAWENE APONGEZA JUHUDI ZA UTUNZAJI MAZINGIRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene amepongeza juhudi za utunzaji wa mazingira zinazofanywa na wadau mbalimbali hapa nchini. Simbachawene ametoa pongezi hizo kwa wadau Katibu Mtendaji wa asasi ya Foundation for ASM Development (FADev) Bibi Theonestina Mwasha na Emmanuel Chisna waliofika ofisini kwake …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI, HOTELI YA GOLDEN TULIP AIRPORT ZANZIBAR
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA VITUO VYA KISAYANSI PEMBA
DKT. MPANGO: WAHASIBU MAFISADI KUKIONA CHA MOTO
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wahasibu wote wanaofanya vitendo vinavyokinzana na maadili ya kitaaluma ya uhasibu kama wizi, ubadhirifu wa mali za umma, ufisadi na rushwa. Dkt. Mpango alitoa maagizo hayo wakati akifungua …
Soma zaidi »SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUENDELEZA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi kubwa katika kuendeleza miradi ya maji safi na salama na si muda mrefu changamoto ya upatikanaji huduma hiyo itakuwa ni historia. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake wakati wa ufunguzi …
Soma zaidi »